Fast & Furious 9: Umeionaje?

Fast & Furious 9: Umeionaje?

iko vizuri,yaani jamaa wanakulazimisha kukudanganya mpaka unaingia line😂😂😂,ila nilicheka zaidi mbongo mwenzetu Tyrese alivoanza kujihisi yeye si binadamu wa kawaida maana karushiwa risasi nyingi na hata moja haijampata 😆😆😆
😂😂😂
 
Haaah
20210803_150814.jpg
 
From street racing based to sci Fi movie.

Ukiondoa hivyo hii movie haichoshi kwa wapenda actions.
 
From street racing based to sci Fi movie.

Ukiondoa hivyo hii movie haichoshi kwa wapenda actions.

Yaani bora umesema kabisa ni sci-fi nisipoteze muda wangu,zinakuaga ni movie za kishenzi sana.
 
Binafsi naona Kama inazidi kupoteza mvuto tu by the way zile fast and furious part 5 and 6 ndio zilikuwa nzuri zaidi ya hii ya sasa.
Nzuri ya 3 ya 2 na ya 1 na ya 5
Hizo ndo zina fast ndani yake
Hii ya 9 wangeiita tu furios and furious 9
 
Back
Top Bottom