Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Precision Air wanajitetea kuwa wametapeliwa na KQhivi hawa jamaa wamekuja kufanya biashara au kuiua Precisionair!?
...na je, Precisionair wanafanya biashara au wanawaibia wasafiri!?
PAA na wenyewe kwa delays ni namba mojaI'm PAA Royal !!! Fastjet wezi tu
mi nasubiria ile ya soth africa tuu waseme wanaanza lini mie niwe mtejwa wao wa kwanzaKampuni ya Fast Jet inategemea kuanza kuruka kutoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya kuanzia mwezi Novemba tarehe moja.
Hii ina maanisha kuwa, Precision Air watakuwa kwenye kipindi kigumu zaidi kwani jamaa wamekuja na dau la kuanzia sh. 32,000/= kwa safari ya kwenda moja.
I'm PAA Royal !!! Fastjet wezi tu
Kampuni ya Fast Jet inategemea kuanza kuruka kutoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya kuanzia mwezi Novemba tarehe moja.
Hii ina maanisha kuwa, Precision Air watakuwa kwenye kipindi kigumu zaidi kwani jamaa wamekuja na dau la kuanzia sh. 32,000/= kwa safari ya kwenda moja.
kwa nn wasianzw mwez wa kumi hao
32000 yaani bei chee kuliko mabasi fulani!?
hivi hawa jamaa wamekuja kufanya biashara au kuiua Precisionair!?
...na je, Precisionair wanafanya biashara au wanawaibia wasafiri!?
PAA na wenyewe kwa delays ni namba moja