FAST JET:- Dar Mby kuanza Novemba

FAST JET:- Dar Mby kuanza Novemba

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kampuni ya Fast Jet inategemea kuanza kuruka kutoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya kuanzia mwezi Novemba tarehe moja.
Hii ina maanisha kuwa, Precision Air watakuwa kwenye kipindi kigumu zaidi kwani jamaa wamekuja na dau la kuanzia sh. 32,000/= kwa safari ya kwenda moja.
 
hivi hawa jamaa wamekuja kufanya biashara au kuiua Precisionair!?
...na je, Precisionair wanafanya biashara au wanawaibia wasafiri!?
 
I'm PAA Royal !!! Fastjet wezi tu
 
Kampuni ya Fast Jet inategemea kuanza kuruka kutoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya kuanzia mwezi Novemba tarehe moja.
Hii ina maanisha kuwa, Precision Air watakuwa kwenye kipindi kigumu zaidi kwani jamaa wamekuja na dau la kuanzia sh. 32,000/= kwa safari ya kwenda moja.
mi nasubiria ile ya soth africa tuu waseme wanaanza lini mie niwe mtejwa wao wa kwanza
 
Kampuni ya Fast Jet inategemea kuanza kuruka kutoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya kuanzia mwezi Novemba tarehe moja.
Hii ina maanisha kuwa, Precision Air watakuwa kwenye kipindi kigumu zaidi kwani jamaa wamekuja na dau la kuanzia sh. 32,000/= kwa safari ya kwenda moja.

Hakiyanani FN wakianza hiyo route PW wahesabu maumivu. Sasa hivi tu tayari tropical air wanawatoa kamasi kwa mbaaaliiiiii. sasa lile jitu kubwa likiingia kule si litamaliza abiria wote wanaopanda kwenye vile vi ATR?
Zisi izi vere majanga tu ze PW. Ai prei wapate hiyo mijihela ya kulipa mideni sugu.
Hii biashara inawawi vigumu.
 
kwa nn wasianzw mwez wa kumi hao

Wanatafuta mda wa kutosha wa kuuza ticket na kuangalia forward bookings zikoje ndo maana wameanza kelele mapema.
That is one trick ya airline business. Have patience mzee. Goma litapaa tu.
 
32000 yaani bei chee kuliko mabasi fulani!?

Hiyo inakuwaga bei ya danganya toto tu kaka usiiamini sana. Wanaweka kwa seat 10 tu kati ya 140+ seats then nyingine wanauza kwa bei za kufidia hiyo 32k. Utaelewa taratibu tu haina haraka.
 
PAA na wenyewe kwa delays ni namba moja

Wese ni ishu mkuu. Sasa hivi goma ni zito. Jamaa hawaweki wese mpaka wawe wamelipwa hapo hapo yaani kama we unavyoingia Petrol station na kibajaji chako.
Zamani si walikuwa wanachukua on credit. Wakalimbikiza deni sasa supplier kaamua kukomaa. Washabadilisha sana masupplier wa wese ila goma linarudi pale pale.
 
Last time napanda precision walidelay baada ya sa5 tukaondoka sa9 bila taarifa(dar-mbeya)wakija hawa jamaa watunza mda precision inakuwa imekufa rasimi inabaki trip za mtwara na kigoma kwani mwanza hawapo tena!!!
 
Back
Top Bottom