SaidAlly
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 2,328
- 2,228
siyo siri hiyo -as- unayoweka kwenye post zako inakera unakosa hata radha ya kuendelea kusoma
Mkali wa laim....hahahaha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo siri hiyo -as- unayoweka kwenye post zako inakera unakosa hata radha ya kuendelea kusoma
mkuu labda kwa kuwaasaidia tu
swala la ndegekuondoka on time alihusiani na muda wa kukaa ndege on ground
kwa taarifa tu hawa mabwana wameilipa taa/swissport/tcaa hela ya mwaka mzima cash thrught zurich account ...na wao wanachofanya sasa ni kututoa ujinga wa kizamani umechelewa unampigia didy hny nimechelewa pl niko tazara ..huku ukichelewa anaeweza kufungua ndege kitu ambacho akijawahi na akitawahi ni mama limoja la kizungu usipime yuko on time sharp n smart ataki ujinga hata kidogo mpwa
ni kweli kuchelewesha ndege ni garama lakini nikugusie kidogo tu kila ndege inayotua na kukaa on ground ina access ya kukaa masaa 6 zaidi ndio wanalipia extra...wanacholipa wanakuwa na masaaa 6 wakizidisha shuguli nyingine sijui hata mramba kama amewahi kuchelewesha ndege yake ya pw masaa sita
kitu akipo ...ingekuwa nchi kama south africa yenye ndege zinapishana kila dk 2 hapo unaweza kusema unaweza miss slot..nafasi yako yaani kama unatakiwa kuruka saa 4 ukaomba 5 kutokana na mpishano wa ndege hata saa saba unaondoka muda wote ndege ziko busy ndio maana ujinga wa dly wafanyeni tz na sio nchi kama sa...
Ombi tujifunze kuwahi mambo kama haya nimeyaona hata kwenye ndoa za watu sio mmoja kuna majamaa wamzoea kuchelewa siku wakienda kuoa kanisani misa inaanza saa kumi mchana wanakuja kuminamoja kasorobo ati nakaa kibangu folen weewee hata unaefungisha ndoa mwehu basi tu anakusitiri usife na ma beki 3 anyway hilo ni somo lingine cya jukwaa letu
[TABLE="class: BasketItemsTable, width: 240"]
[TR="class: BasketPaxCountRow"]
[TD="class: BasketPaxCountColumn1"]No of Adults:[/TD]
[TD="class: BasketPaxCountColumn2, align: right"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: outboundFlight BasketItineraryItemRow"]
[TD="class: BasketItineraryItemColumn, colspan: 2"]Dar es Salaam to Mwanza (FN0161)[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Departure:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2, align: right"]31 Jan 06:30[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Arrival Time:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2, align: right"]31 Jan 08:00[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Fare:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2, align: right"]32,000 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Inc Tax:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2, align: right"]11,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Total Fare:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2, align: right"]43,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: inboundFlight BasketItineraryItemRow"]
[TD="class: BasketItineraryItemColumn, colspan: 2"]Mwanza to Dar es Salaam (FN0162)[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Departure:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2, align: right"]05 Feb 08:45[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Arrival Time:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2, align: right"]05 Feb 10:15[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Fare:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2, align: right"]32,000 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Inc Tax:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2, align: right"]11,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"]Total Fare:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2, align: right"]43,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"]Flights Total:[/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2, align: right"]86,080 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"]Products Total:[/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2, align: right"]0 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketGrandTotalRow"]
[TD="class: BasketGrandTotalColumn1, colspan: 2"][TABLE="class: BasketGrandTotalTab, width: 246"]
[TR]
[TD="class: BasketGrandTotalCaption"]Amount outstanding:[/TD]
[TD="class: BasketGrandTotalPrice, align: right"]86,080 TZS[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/SIZE][/COLOR]
[*]- Check in closes 40 minutes before departure - No name changes or refunds.
[/LIST]
kwa hiyo mlalamikaji utakua ulichelewa dk 41.
Wabongo ukiwachekea hawakawii kumwambia rubani asimame chalinze wanunue nazi za kwenda nazo moshi.
Tena watataka badala ya kutua kia, ndege iwe inashusha na kupakia njiapanda ya imo, kiboruroni nk.
Waache hizo,, watu tushachelewa qatar, ndege ya saa 7 tumefika airport saa 6 tulikuta wameshafunga sehem zao za check in na computer zimeshazimwa lakini walikuja wakawasha computer na waka print sticker zao za mabeg tukafanyiwa check in fasta as emergence na tukaingia as kama tulikuwa tunasubiriwa sisi as tulivyoingia tu ndo ndege ikafungwa na kuanza kuondoka..
Sembuse hao wa dakika 1,,, sizani kama kuna ndege inamtosa abiria kwa dakika 1... Na hata KLM nilishachelewa ORD na bado hawakufunga fasta tukafanyiwa check in na tukaingia...
Kila abiria wakimtosa kuchelewa si itakuwa balaa kwenye connections mfano you have almost 3 connections to final destinations so ukiikosa ndege ya kwanza transit zote zinaharibika as sio kila sehemu kuna daily flights.. Mfano ukiachwa na turkish may be in chicago inabid usubiri 2 days kupata connection ya turkish from instanbul to dar si balaa hilo na kama imejaa si wiki nzima inakula kwako upo airport tu...
Hao fast jet hata kama ni ku keep time wamezidi maana hata international airline hazipo systematic kiasi hicho
Habari zenu wanajamvi,
Kuna baadhi ya mambo yananichanganya kuhusu hawa fastJet,
1.Bei zao wanazotutangazia hazina ukweli wowote na hazikaribiani na ukweli,
Mfano leo kwenye website yako wamatutangazia ndege yao ya kwanza kutoka Dar kwenda KIA ni tsh32,000 ,nimepiga simu wanasema ni Tsh107000=.
2.Ukichelewa hata dakika moja baada ya reporting time hawakujui,kwani wameshachukua chao,wanakunyima safari.Hii imemtokea jamaa yangu mmoja leo jioni,walikuwa zaidi ya abiria 8 lakini hawakuwasikiliza zaidi ya kuwapa majibu ya kukatisha tamaa na kejeli,
3.majibu yao kwa ujumla wanaonekana kama abiria wanaopanda hiyo ndege wanapanda bure,au ni kama msaada flani,hawamthamini abiria kabisa,
4.Watanzania wenzangu tunaofanya hapo fastjet na wateja ebu jaribuni kuipa thamani pesa yetu ilingane na huduma tunayopewa na tunayotoa kwa wateja,hatuhitaji msaada wenu,
Mwenye kero kama zangu tiririka hapa
Nini sababu kubwa hasa ya hilo?
unayosema ni kweli lakini ya Uswisi hayo siyajui,
Any way hapo kwenye habari mletaji mada hii hakueleza muda kamili yeye amesema ni dakika moja inatilia mashaka kama kweli suala la wakati ni muhimu sana ndio watu wamesema wakati ni mali
Yaani nimecheka hadi kichwa kinauma. Hakyanani!
mashirika mengi ya kimataifa na ya nyumbani yana utaratibu waliojiwekea wa muda wa kudelay safari za ndege kubwa wanatumia muda maalum kwa safari kutoka flight plan na flight rout, atc wakipanga muda wa ndege kuondoka pia ni muda maalum, ikiwa ndege haikuondoka kwenye muda ule itambidi rubani kupanga flight plan nyengine na gharama za ground fees zinaongezeka, ili kupunguza gharama shirika hutumia muda maalum kwenye kiwanja husika bila ya kuongeza gharama zisizohusu shirika moja kwa moja.
Abiria anapochelewa na muda wa ndege kuondoka kwenye geti umefika wahudumu hawana namna ya kukusaidia
Vizuri mkuu ila kwa kuongezea na kwa kutumia common sense tu mtu achelewe lakini angalau awe na kamzigo kadogo ka kuingia nako ndani kwani hako mara nyingi hata dakika za ku-check in zimeisha huwa wanamezea kama wahusika wakiwa around, sasa mtu ukute ana mzigo kilo 20 na kwa ukubwa wake huwezi ingia nao ndani hivyo inakuwa ngumu kukuonea huruma kwa kuwa muda huo uliobaki wanautumia kuipanga mizigo kwenye ndege si unajua kitu kinaenda angani na mizigo nayo hupangwa kulingana na balance, mfano mzuri ukisafiri ndege kama ina abiria wachache na ikatokea haina mizigo pia mara nyingi viti vya abiria vya nyuma huachwa wazi ili ipate balance nzuri
Wanaposema mwisho wa ku-check in dakika 40 kabla ndege kuondoka maana yake wapate muda mwingine wa ku-deal na hiyo mizigo kwa kuipanga