ni kweli hawa jamaa ni kero tupu.Unalipa 32000 au hata 100,000,kwenda kurudi kj na unachelewa???nyie ndio wapuuzi wote 8,mshafanya hilo daladala.basi la mkoa lenyewe halisubiri abiria itakua ndege.nawapa sifa hao staff maana wangewaendekeza nyie itakuwa taabu mtataka hata kutumiwa gari nyumbani kuwachukua na buku 30 zenu nyambaf.
Nilifanya booking siku kumi kabla ya kusafiri kwenda Mwanza nikitarajia bei itakuwa hiyo shs 32,000 kama wanavotangaza.Cha ajabu eti nikaambiwa siti za bei hiyo zimekwisha ! nikashangaa ! siku kumi kabla ya safari eti siti zimekwisha ! Ikabidi nikate tiketi kwa shs 278,000 ! na wakati wa kusafiri kupimisha uzito wa begi wakati wa check in airport wanakudai shs 8,000 sawa na dola kama sita hivi ! na isitoshe ukitaka chai ndani ya ndege wakati wa safari unalipia !
ATCL wanakatisha tiketi kwenda Mwanza kwa shs.260,000 tu ! Begi lako wakati wakupima uzito halilipishwi tena na unapata chai au juice au kahawa na vitafunwa bure unapokuwa ndani ya ndege !
FASTJET WAACHE UTAPELI NA GHARAMA ZA KUSAFIRI NA NDEGE HIYO NI KUBWA UKILINGANISHA NA NDEGE NYINGINEZO !
NINGEWEZA NINGEWATANGAZIA WATANZANIA WOTE UTAPELI WA HAWA FAST JET !