Fastjet ni kero tupu!

Kwa suala la kuchelewa sioni kosa lao, ndege sio kama bus ndg, ukichelewa check in basi imetoka, hata kama ni sekunde, na hii sio sheria yao bali ni utaratibu wa airport.
Na kwa suala la bei, alitakiwa kiweka booking pale alipoona hizo bei.
Tuelimike na tuzitumie kwa faida yetu. Mm sikuungi mkono, maana bei ninayoiona net ndio nakata na sijaona tatizo.
NB: kama ndio mtu anapanda kwa mara ya kwanza ndege, plz wahi sana kuepuka usumbufu, lile sio bus jamani, bus unapanda hata likiwa limeanza kuondoka.
Thank u fastjet.com
 
unayosema ni kweli lakini ya Uswisi hayo siyajui,
Any way hapo kwenye habari mletaji mada hii hakueleza muda kamili yeye amesema ni dakika moja inatilia mashaka kama kweli suala la wakati ni muhimu sana ndio watu wamesema wakati ni mali
 

Asante kwa ufafanuzi Mkuu maana wengine tushaambiwa uwezo wetu wa kufikiri umefika mwisho.

Zaidi tungeambiwa hatujawahi hata kuona ndege achilia mbali kuigusa au kupanda kabisa.
 
Wabongo ukiwachekea hawakawii kumwambia rubani asimame chalinze wanunue nazi za kwenda nazo moshi.

Tena watataka badala ya kutua kia, ndege iwe inashusha na kupakia njiapanda ya imo, kiboruroni nk.

Teh teh teh...at least nimecheka kidogo nitape kulala unono...
 
NA kwakifupi haya matatizo tumeyataka wenyewe how
Huyu manageement walip[oingia kazini wakaambiwa jamaa wanaita ndege yao basi za ubungo kila mtu anapanda wakajibu hiyo ndio lengu letu ila tutawatofautisha kidogo na wapi ndio huuku dar express unapanda hat ukiwa kwenye traffic light UBUNGO ndege ikifungwa utapandia bawani na hii ndio tofauti swala tybadilike YES WE CAN
 
mpaka Chairman kaamua kutokuchukuwa salary sasa mnataka msaidiwe vipi?
The director of Africa's first low-cost airline, fastjet, has revealed that he has chosen to be paid an annual salary of just one pound so as to help make a difference to Africa's future growth prospects.

David Lenigas, the Chairman of fastjet, informed the board of his decision which, the company has confirmed, will take place
 
Tatizo lete wabongo ni kutopenda kusoma habari mbalimbali na kwenda na wakati kwani ulishatolewa ufafanuzi kuwa kunatofauti kubwa kati ya easy jets na usafiri wa ndege nyingine, kwa mfano nauli, no show up, cancellation ya safari nk. Kwa upande wa nauli, ni rahisi kwenye easy jets lakini uki cancel au kutosafiri siku ya booking yako hesabu imekula kwako kwa upande wa easy jets tofauti na ndege nyingine una weza cancel safari na kupewa nafasi siku nyingine. Kwa upande wa nauli ni kawaida kutofautiana ktk ndege moja, kwa mfano viti vya mele karibu na rubani ni ghali kuliko vya katikati, na vya nyuma karibu na mkia always huwa ni rahisi. Kwa hiyo ukiambiwa nauli ni elfu 32, hiyo ndiyo ya chini sio kuwa watu wote katika hiyo ndege watalipa nauli hiyo. Vinginevyo kata Dar express na ukulanguliwa kalalamike SUMATRA.
 

Ila lazima ikumbukwe kwamba fastjet ni low cost airline hivyo vigezo na masharti kuzingatiwa na mbaya zaidi kila kitu wameandika na wapo wazi na wanasisitiza check in mwisho ni dakika 40 kabla ya ndege kuondoka, hapo nani mwenye makosa though kuna ambao wanakuja dakika 20 kabla ya kuondoka na wanapita sometimes. Watz wapende kusoma maelekezo yao na yapo kwenye ticket na hata kwenye website zao, tatizo tumezoea kuvunja masharti katika ofisi zetu na kupeleka mambo kienyeji, kila siku tangazo kwenye Tv wanatoa hakikisha umefika masaaa 2 kabla ya kuondoka (dondoo unaposafiri na fastjet).
 

Mkuu usichanganyikiwe, fastjet website yao ni nzuri na detail zote za safari unazipata, wewe upo kwenye website alafu unawapigia simu ofisini wakati kila kitu kimo humo humo. Tujifunze kuangalia vitu kwa makini maana jamaa wanatangaza nauli ni 32,000 book now (hawajakwambia kwamba nauli ni hiyo kwa siku hiyo hivyo ulitakiwa u-click Dar to Kilimanjaro kuona kwa siku hiyo nauli ni shilingi ngapi badala ya kupiga simu kwani kila kitu kimo humohumo kwenye mtandao)

Mfano kwa walioondoka asubuhi leo kwenda kilimanjaro nauli ilikuwa 75,040
[TABLE="class: BasketItemsTable"]
[TR="class: outboundFlight BasketItineraryItemRow"]
[TD="class: BasketItineraryItemColumn, colspan: 2"]Dar es Salaam to Kilimanjaro (FN0155) [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Departure: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 30 Dec 06:00 [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Arrival Time: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 30 Dec 07:20 [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Fare: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 64,000 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Taxes: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 11,040 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Total: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 75,040 TZS [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"] Total fares and taxes: [/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2"] 75,040 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"] Total Baggage: [/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2"] 0 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketGrandTotalRow"]
[TD="class: BasketGrandTotalColumn1, colspan: 2"] [TABLE="class: BasketGrandTotalTab"]
[TR]
[TD="class: BasketGrandTotalCaption"] Total payable: [/TD]
[TD="class: BasketGrandTotalPrice"] 75,040 TZS
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Jioni ilikuwa ni hiyo uliosema wewe (107,040)

[TABLE="class: BasketItemsTable"]
[TR="class: outboundFlight BasketItineraryItemRow"]
[TD="class: BasketItineraryItemColumn, colspan: 2"]Dar es Salaam to Kilimanjaro (FN0151) [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Departure: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 30 Dec 10:30 [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Arrival Time: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 30 Dec 11:50 [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Fare: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 96,000 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Taxes: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 11,040 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Total: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 107,040 TZS [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"] Total fares and taxes: [/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2"] 107,040 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"] Total Baggage: [/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2"] 0 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketGrandTotalRow"]
[TD="class: BasketGrandTotalColumn1, colspan: 2"] [TABLE="class: BasketGrandTotalTab"]
[TR]
[TD="class: BasketGrandTotalCaption"] Total payable: [/TD]
[TD="class: BasketGrandTotalPrice"] 107,040 TZS
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kama ungetaka nauli ya 32,000 ungepata tu mkuu nayo inapatikana tarehe 11 January ndege ya asubuhi kama ilivyo chini

[TABLE="class: BasketItemsTable"]
[TR="class: outboundFlight BasketItineraryItemRow"]
[TD="class: BasketItineraryItemColumn, colspan: 2"]Dar es Salaam to Kilimanjaro (FN0155) [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Departure: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 11 Jan 06:00 [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Arrival Time: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 11 Jan 07:20 [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Fare: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 32,000 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Taxes: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 11,040 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Total: [/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 43,040 TZS [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"] Total fares and taxes: [/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2"] 43,040 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"] Total Baggage: [/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2"] 0 TZS [/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketGrandTotalRow"]
[TD="class: BasketGrandTotalColumn1, colspan: 2"] [TABLE="class: BasketGrandTotalTab"]
[TR]
[TD="class: BasketGrandTotalCaption"] Total payable: [/TD]
[TD="class: BasketGrandTotalPrice"] 43,040 TZS[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa kampuni yoyote ya ndege katika matangazo mara nyingi hutangaza ile ambayo ni minimum na wasafiri wengi wa ndege wanajua kabisa kadri unavyofanya booking mapema ndio na bei inakua chini

NEXT TIME SOMA MAELEKEZO VIZURI MAANA HICHO KITU UNACHOLALAMIKIA KIPO KWENYE WEBSITE YAO PIA ZINGATIENI MUDA MAANA NAULI YENYEWE NI 43,040 SASA WATASIKILIZA WANGAPI NA WAO NI LOW COST AIRLINE TOFAUTI NA PRECISION AIR AMBAYO UKICHELEWA LAZIMA WATAKUPA NDEGE NYINGINE NA BADO UNAWEZA UKABADILISHA MUDA NA SIKU YA KUONDOKA NA HATA IKATOKEA NDEGE IMEHARIBIKA HAIENDI WATAKULIPIA GHARAMA ZA HOTEL KUSUBIRI KUONDOKA KESHO YAKE. LAKINI KWA HAWA JAMAA USITEGEMEE HIZO OFFER MKUU NA NDIO MAANA KILA KITU KINA FAIDA NA HASARA

Mwisho jamani ndege sio kama vile tunavyosafiri kwenye Zafanana au Super Najimunisa kwani kuna taratibu nyingi za kiusalama lazima upitie na ndio maana wakaweka muda wa ku-check in mapema na ukute wote waliozuiwa ni wale wenye mamizigo ambayo hayawezi kukaa ndani ya ndege wakati wao wameisha ichukua mizigo ya sijui niite ya kuwekwa kwenye buti, ndege zinaongozwa na kanuni na taratibu though wakati mwingine huwa nao wanakiuka (hasa kama una kamzigo ka ndani hata kama utakuja bado dakika 20 kuondoka wanaweza kukuruhusu maana process yako si ndefu kama mwenye mjibegi la kilo ishirini maana ile mizigo inahitaji muda wa kupangwa vizuri), pia tujifunze kusoma na kufuata kanuni kama zilivyoainishwa kwenye website

[h=2]7. CHECK IN AND BOARDING[/h] 7.1 The Check-in Deadline is 40 minutes prior to the scheduled time of departure. The Check-in desk will close at the Check-in Deadline and you must therefore allow ample time to ensure you can check in before this time. We will not accept you for travel and will cancel your reservation if you do not comply with the Check-in Deadline or appear to be improperly documented and not ready for travel. We are not liable for loss or expenses due to your failure to comply
7.2 You must be present at the boarding gate not later than the time specified by us when you check in.
7.3 We will cancel the space reserved for you if you fail to arrive at the boarding gate in time.
7.4 We will not be liable to you for any loss or expense incurred due to your failure to comply with the provisions of this Article.
 
unayosema ni kweli lakini ya Uswisi hayo siyajui,
Any way hapo kwenye habari mletaji mada hii hakueleza muda kamili yeye amesema ni dakika moja inatilia mashaka kama kweli suala la wakati ni muhimu sana ndio watu wamesema wakati ni mali

Hapo mdau atakuwa ameweka chumvi maana mnapokuwa kwenye mstari wanahudumia mpaka mtu wa mwisho na lazima yule aliopo eneo la tukio lazima ipite interval ya dakika kadhaa akiona hakuna mtu ndio anafunga maana siamini kama zikifika tu dakika 40 kabla ndege kuondoka wanafunga maana uwanja wa ndege wa Dar mnaanza kukaguliwa pale mlango mkuu abiria wa ndege mbalimbali ambazo zinaondoka muda ambao unashabihiana, ukishapita kila mtu anakwenda kwenye ndege ambayo anaondoka nayo (kule ndani sasa), hapa haingii akilini jamaa amezuiliwa wapi nje kabla ya kuingia lango kuu au alishaingia lango kuu maana kama angekuwa ndani maana yake tayari alikuwa kwenye foleni ya kuweka mzigo wake kwenye mzani hivyo kwa mtaji huo lazima wangempokea. Hiyo dakika moja kwa eneo la tukio lilivyo ni kama chumvi flani hivi
 
Yaani nimecheka hadi kichwa kinauma. Hakyanani!

Sasa King'asti kipi kikuchekechasho wakati mambo unayaona hayo live, sas nikuulize wewe jee waliingiaje kuendeleza ujasiliamali wao
 

Vizuri mkuu ila kwa kuongezea na kwa kutumia common sense tu mtu achelewe lakini angalau awe na kamzigo kadogo ka kuingia nako ndani kwani hako mara nyingi hata dakika za ku-check in zimeisha huwa wanamezea kama wahusika wakiwa around, sasa mtu ukute ana mzigo kilo 20 na kwa ukubwa wake huwezi ingia nao ndani hivyo inakuwa ngumu kukuonea huruma kwa kuwa muda huo uliobaki wanautumia kuipanga mizigo kwenye ndege si unajua kitu kinaenda angani na mizigo nayo hupangwa kulingana na balance, mfano mzuri ukisafiri ndege kama ina abiria wachache na ikatokea haina mizigo pia mara nyingi viti vya abiria vya nyuma huachwa wazi ili ipate balance nzuri

Wanaposema mwisho wa ku-check in dakika 40 kabla ndege kuondoka maana yake wapate muda mwingine wa ku-deal na hiyo mizigo kwa kuipanga
 
Hiyo bei ya promosheni muda wake ulishakwisha ,hili la kuchelewa wabongo wanadharau sana kufika muda wa kucheck in tofauti na wageni.Na hili tatizo mara nyingi ni kwa ndege za ndani ni mara chache sana mtu anasafiri na BA,KLM au South African akachelewa
 

well said mkuu!!!!
 
Uache uvivu wa kusoma kanuni na masharti


Rules Flight 1:
-Tickets are non-refundable.
-No name changes are allowed for any reason after ticket is purchased.
-A passenger is considered a no-show after the flight has departed, they miss the check-in desk closure or fail to board the aircraft within the required time.
-The ticket is non-refundable if unused.
-An administration charge applies to recover government taxes.
- Check-in closes 40 minutes before departure - All flight changes must be made 24 hours before the flight orignally booked - No change will be allowed within 24 hours before the flight -All fees and charges will be made in the currency of the original booking.
- Payment of change fee and ancillary products must be immediate for products and changes to be affected -Baggage is subject to a fee of $5 per bag.
-Only one bag allowed per passenger.
-You can carry 20kgs for the $5 fee.
-The passenger can pay for excess weight at a rate of $5 per kg up to a maximum of 32kgs.
- Fare differences apply per passenger and flight.
-Your new fare will be at least the fare you originally booked or may be more.
-You cannot change to a lower fare.
-No refund will be applicable if a lower fare is available.
-Fare difference is the difference (if any) between the fare orignally booked and the new fare available.
-The fare difference maybe substantial.
- Flight date changes are permitted subject to a fee and the applicable difference in the fare available.
-Origin and destination changes are not permitted.
- The passenger must make all date and flight changes 24hours before departure.
-After which time the passenger is committed to the reservation.
**Unaccompanied minor** Children aged less than 14 years are not allowed to travel unaccompanied, they can only travel with an adult.
If in doubt please ask for ID .
- Check in closes 40 minutes before departure - No name changes or refunds.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…