Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,319
- 10,416
Nimeitumia fast jet mara nyingi. Labda niseme mara nyingi sana. Ila kiukweli last week nimeshuhudia what I have never seen tangu niwe mteja wa hii ndege for a year now. Juzi Jmosi nilitakiwa kutoka mwanza usiku saa tatu..tulitoka na ndege ya saa nne na madakika usiku. Hatukupata maelezo wala sababu.tukafika Dar almost saa sita. Wakati natoka nje..nikamwambia mhudumu..nadhani kesho itakuwa hivi hivi.....(maana nilikereka kweli) na kweli..kesho yake Jpili nilikuwa nasafiri kutoka Dar kuja KIA..ndege ilicheleweshwa almost one hour!
So guys..siyo kila anayelalamika anaichukia hii ndege..kwetu wengine..imetusaidia sana (naweza sema natumia fast jet return..mara tatu kwa mwezi...which are six trips! (jamani huo sio mpunga mchache) So..I should be the last person kulaumu hapa.
Kilichinikera ni kwamba ndege inachelewa..hata wahudumu hawajisomi..hakuna maelezo wala nini..its really disguisting! I hope Ed Winters na wenzake..wanatambua umuhimu wa customer care. But for sure..Fast jet wamefanikiwa kutengeneza client base..because of super time management..so I am dissapointed that..this trust is slowly getting wasted.
Kifupi..Fastjet jirekebisheni..muache longo longo za akina precision.