Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau kulikoni fastjet iliyojinasabisha na wasafiri wa Mbeya sasa wameanza kuonyesha makucha. jana wameahirisha safari zao za mbeya ghafla.
Na kuudhi leo wasafiri wanadandia ndege kama daladala kwa anayewahi kuingia..............
Huyo mleta mada bila shaka ni staff wa Precision Air so anataka kuwapaka matope Fastjet. kiukweli Fastjet hawashikiki kwa sasa nimesafiri nao mara nyingi kati yaa DAr-MWANZA, DAR-JOBURG & DAR -KIA ndege inajaa pomoni wakati PW wanakosa kabisa abiria.
Nasikia serikali ya Kenya inawasumbua kuwapa kibali cha kufanya kazi ili kulinda maslahi ya KQ, sijui kama kuna ukweli kwenye hii shutuma.Fastjet wamekuja kubadilisha GAME ya airline industry kwa Tanzania, East, Central & Southern Africa, siku wakiingia Kenya wameimaliza Kenya Airways.
Fastjet kusema ukweli wamenifanya nione ndege si ANASA kwa kweli. Bila shaka itaendela hatya baada ya Uchaguzi 2015 maana nasikia Mwana mfalme (Prince) Riz1 kawekeza mule.
Fastjet wamekuja kubadilisha GAME ya airline industry kwa Tanzania, East, Central & Southern Africa, siku wakiingia Kenya wameimaliza Kenya Airways.
Nasikia serikali ya Kenya inawasumbua kuwapa kibali cha kufanya kazi ili kulinda maslahi ya KQ, sijui kama kuna ukweli kwenye hii shutuma.
Nasikia serikali ya Kenya inawasumbua kuwapa kibali cha kufanya kazi ili kulinda maslahi ya KQ, sijui kama kuna ukweli kwenye hii shutuma.
Polen msilazimushe safari mambo ya oparation hayo.msije mkapiteraa juu kurazumisha kusafiri nasikia ndege moja mbovu sasa hizo mbili inabidi kukava root ya mbovu
ubea na kutopenda kufuata ukweli na uvivu wa kusoma na kutafuta habari sahihi.
Fastjet plots Kenya entry after Fly540 venture exit
Ahsante kwa taarifa