Endelea kujifukiza
HahahaaaaaYaani Padre anaongea kama ndiye Mwenye Nchi vile! Halafu huyo Mwenye nchi mwenyewe ndiyo kwanza anaongea kama Padre!! Kazi kweli kweli.
Hii ndo hali halisi mkuu.Yaani Padre anaongea kama ndiye Mwenye Nchi vile! Halafu huyo Mwenye nchi mwenyewe ndiyo kwanza anaongea kama Padre!! Kazi kweli kweli.
Hahahaaaa....... Huyu Bubelwa atakuwa ni muhaya!Hii ndo hali halisi mkuu.View attachment 1707712
Hahahaha.....Huyu Bubelwa atafute kituo cha polisi akaripoti mwenyewe kujisalimishaHii ndo hali halisi mkuu.View attachment 1707712
Acha mawazo mfu, ugonjwa huu anaweza kukuletea mtoto wako kutoka huko shuleni alipochangamana na watoto wenzie kutoka familia zisizojilinda.Nani ambae haamini km huo ugonjwa upo?, huyo asie amini ameshikilia afya yako?!, wewe huyo asie amini ni mmeo kwamba mko nae kitanda kimoja,.?.ukijikinga wewe atapona yeye?, AU asipojikinga yeye utakufa wewe,usiwe mjinga na mpumbavu,fanya kile unachoona kinakufaa
πππHii ndo hali halisi mkuu.View attachment 1707712
Akizungumza katika misa ya mazishi ya Balozi Kijazi Katibu wa TEC father Kitima amesema wanakubaliana na tamko la Rais Magufuli kwamba wananchi wamwombe Mungu bila kuacha kuchukua tahadhari za kisayansi dhidi ya ugonjwa wa Corona.
Father Kitima amesema ni vema wananchi wakachukua tahadhari zote za kisayansi dhidi ya ugonjwa wa Corona huku wakimtanguliza Mungu mbele.
Chanzo: TBC
Maendeleo hayana vyama!
Mungu hana dini binadamu ndio wenye dini.Dk. Charles Kitima ni padre na mwalimu wa sheria na Katiba aliye elimu ya uzamivu.
Akisema kuwa "ni vema wananchi wakachukua tahadhari zote za kisayansi dhidi ya ugonjwa wa Corona huku wakimtanguliza Mungu mbele" ni sawa. Anacho kibali cha kuyasema hayo.
Lakini kauli yake kwamba "wanakubaliana na tamko la Rais Magufuli kwamba wananchi wamwombe Mungu bila kuacha kuchukua tahadhari za kisayansi dhidi ya ugonjwa wa Corona" inayo dosari kubwa.
Rais wa nchi ambayo inaongozwa na Katibu isiyofungamana na dini yoyote hana kibali cha kikatiba cha kumruhusu kutoa tamko kwamba "wananchi wamwombe Mungu."
Kwa kauli hii Rais anakuwa anavunja Katiba ya nchi. Na kina Kitima wakisema kuwa "wanakubaliana na tamko la Rais" wanakuwa wanakubaliana na uvunjaji wa Katiba ya nchi.
Kwa hiyo, Dk. Charles Kitima anataka tuamini kuwa sasa Kanisa Katoliki limeachana na tabia yake ya kuheshimu Katiba ya nchi?
Ni swali la udadisi tu.
Kama kina
Mungu hana dini binadamu ndio wenye dini.
Tunaimba katika wimbo wa taifa " Mungu ibariki Tanzania "
" Mungu wabariki viongozi wetu"
Kosa kubwa lililofanywa na utawala ni kushindwa kutoa tamko kitaifa la kurudi kwa corona wakiamini watu wata hofu. Watu wengi wanajua, lakini pia kuna kundi la watu wengi zaidi (mbumbumbu) ambao bila kusikia kiongozi katamka, hawaamini. Nao ndio wapokea na wasambazaji wakubwa. Ndio wanao sombwa kwenye malori kufikisha nyomi ya mikutano ya waheshimiwa.Huu ugonjwa ni communicable desease, maana yake ni ugonjwa unaoambukizwa kwa haraka kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Wewe mwenyewe ukijikinga halafu watu wengine hawajajikinga haikusaidiii maana hili gonjwa kupamabana nalo inahitaji ushirikiano kwa jamii nzima.
Sasa ikiwa kwenye jamii kuna wengine hawaamini kama huo ugonjwa upo na mbaya zaidi wameaminishwa na kiongozi wa nchi unategemea hata wewe ukichukua hatua mwenyewe itasaidia nini?
Trump hakukosea sheat hole country
Uelewa wetu ndio kikomo hapo. Watashindwaje kutoa tuzo ilhali juzi ndugu zao wametoka kwa sangoma na maiti ya mwenzao aliekufa kwa kushindwa 'kupumua' na sangoma akawambia alikabwa na jini?Kama TAG wameshatupa tuzo ya kuishinda corona kupitia maombi matamko ya nini tena