Unapoanza biashara u need serious people. Kenyans are v.serious more than Tanzanians. They are serious with what they are doing. Wanathamini kile wanachopata kuliko watanzania. They are caring about job. Unaweza ukamlipa pesa nzuri mtanzania na kazi yako akafanya vibaya na wakati huo unaweza ukamlipa kidogo mkenya kazi yako akafanya vizuri tena under minimum supervision. We always need people who can manage to work under minimum supervision tena bila malalamiko lalamiko na wizi mdogo mdogo.
Mkenya ataongea na watoto kiingereza wakati wote mtanzania ataongea akikuona bosi umefika tena kwa tabu. Watanzania wanahitaji training sana. Kwa sasa sina muda wa kuwatrain watu ila shule yangu ikishasimama nitaanza kuchukua watanzania wenzangu na kuanza kuwatrain. Kwangu mimi kabila yangu, dini yangu au mtanzania mwenzangu siyo ishu bali ishu ni namna unavyofanya kazi yako kwa uamimifu. Nafikiri utanisoma vibaya dada yangu lakini kwa hilo utanisamehe labda ndiyo mapungufu yangu.
Hata wafa
I've been working na wakenya na waganda kwa miaka takribani 12. Hawa jamaa wanapenda kazi sio utani. Ukiwapa kazi wakufanyie na uwape mamlaka kwenye hiyo kazi. Uwe na amani kabisa!
Kwa kweli watz wengi hawako serious, mimi ninaunga mkono hilo. Kwa wakenya kufanya kazi kwa moyo ni jadi yao, wanajua kabisa muda gani wafanye nini na wapi pa kufanya nini? Hilo la kuwa ni foreigners kuwa wana shida lina mchango mdogo. Kwani sisi hatuna shida?
Hakika sisi tunapenda kusimamiwa na kusukumwa na kufanya kazi kwa mazoea lkn hatufanyi kwa malengo ndiyo maana NDOTO nyingi wa( m )nazoota wenzetu tunaona ni miujiza ni kwa vile hatujui makusudi ya kuumbwa kwetu.
Ni kweli itakuwa miujiza tu mpaka tutakapojua KUSUDI. Ofisi zetu ni majungu na kukatishana tamaa.
Mkuu ni Kweli Kabisa Wageni wengi wakiwemo hao Wakenya, Nigeria, Waganda na kazalika, wako kikazi zaidi, jiulize ni kwa nini Mahoteli mengi au makampuni mengi sana yanatumia wageni?
Watanzania tunatatizo kubwa sana, na heshimiwa Pinda hakukosea kusema Wawekezaji wana kataa kuajiri wabongo kwa sababu ya kila sk ni Ruusa, mara shemiji yake na Shngazi kafa mara sijui nini, tunashida sana, Hatuwezi shindana na Wakenya au waanda kwenye ishu ya kufanya kazi kwa bidii,
Mimi nimefanikiwa kutembela Wakenya wengi hasa Wafugaji wa kuku maeneo ya Kisumu, Kwa wakikuyu na kazalika, jamaa wana piga kazi si mchezo, huku tunafanya utani,