Mkuu big up sana.
Je unadhani eneo lako litatosha kutimiza ndoto zako? Huwa nikiona mazingira ya taasisi za kikatoriki huwa nabarikiwa sana, unakuta shule/chuo kina eneo la kutosha hata kwa upanuzi wo wote uwao, iwe holizontal au vertical. Kama majirani zako bado hawajashituka, nakushauri panua eneo mapema, atakuja mtu hapo afungue kitu cha ajabu hadi ukose amani.
Mwisho mpe Mungu madhabahu ktk eneo la shule yako nawe utaona utukufu QUOTE )That is point malila. Ninampatia Mungu madhabau katika eneo la shule. Pia natajitahidi ninunue eneo zaidi kwa majirani. Kwa sasa niko busy na paypal account. Ninahangaika kuifungua ili Marafiki zangu walioko nje wanidonate Kama walivyonihaidi. Kuna stage kidogo za kukamilisha ufunguaji wake. Bado sijapokea code. Kama kuna mtu anao utaalamu nayo tuwasiliane. Nafikiri wanoifahamu wanakuali kuwa huduma hiyo inapatikana nchini Kenya.