MPAKA INASEMA HIVYO THAT MEANS DAWA YA SHANGAZI IMEKUINGIA VIZURI. HEBU TULIA DAWA IKOLEEEKwani huyu anaejiita shangazi ndo Nan? Fatuma karume ndo mwanamke gani huyu?
NOTE: Hakunaga shangazi mwenye Akili nyeupe Kama huyu F. Karume.. Vijembe vingi, kuumia kwingi, pumba nyingi harafu point za Maana hakuna.
Mtaji mkubwa wa CCM ni "elimu duni".Huo sio uchambuzi bali ametoa maelezo kwa ufahamu wake!
CCM ninailaumu sana katika sera ya elimu kwa sababu kuna kundi kubwa la vijana wanaojiita wahitimu wa vyuo vikuu lakini kiuhalisia bado ni wajinga wa kiwango cha sekondari (Ordinary level)!
Mkuu, hivi mtaji mkubwa wa wapinzani ni nini au wao hawana mtaji mkubwa?
Lakin yule mkurugenzi wa Barrick amsema kuwa Tanzania haifukuzi wawekezaji bali inataka fair share!! Sidhan kama wewe una ufahamu wa madini kuliko yeye!Kiukweli maamuzi yale wengi walipoteza ajira, familia, wadau kuyumba,kodi serikali ikishuka pia. Suala la 16%; ilikuwepo 15%; lilikuwa suala majadiliano, 50/50 tata sana; serikali ina 30% corp tax na vat 18%!
Madai ya Trillion 490,Tzs yameyeyuka, kishika uchumba $300M, sijui tumelipwa!?
Kwa mujibu wa mpatanishi kiongozi wetu hali ilikuwa tete sana.Barrick walituchezea mchezo kama kususa vile,Mara wamuuzie mchina, finaly kaburu Rand gold pahala pa Acasia.
Kiufupi tumejiumiza wenyewe, hasara kiuchumi ni kubwa kuliko faida.Pia iliondoa na kupunguza imani wawekezaji wakubwa ktk taifa letu.
Wachumi wabobezi wanaweza weka details.
Sent using Jamii Forums mobile app
A good fresh start is better than being the same eerday wapungue tu siyo issue ni bora tuanze upya kwanza tumeokoa na mataifa mengine yataona 50/50 kwa miners inawezekana kuna mataifa mengi yanapigwa tu kwa ubeberu huu.Kiukweli maamuzi yale wengi walipoteza ajira, familia, wadau kuyumba,kodi serikali ikishuka pia. Suala la 16%; ilikuwepo 15%; lilikuwa suala majadiliano, 50/50 tata sana; serikali ina 30% corp tax na vat 18%!
Madai ya Trillion 490,Tzs yameyeyuka, kishika uchumba $300M, sijui tumelipwa!?
Kwa mujibu wa mpatanishi kiongozi wetu hali ilikuwa tete sana.Barrick walituchezea mchezo kama kususa vile,Mara wamuuzie mchina, finaly kaburu Rand gold pahala pa Acasia.
Kiufupi tumejiumiza wenyewe, hasara kiuchumi ni kubwa kuliko faida.Pia iliondoa na kupunguza imani wawekezaji wakubwa ktk taifa letu.
Wachumi wabobezi wanaweza weka details.
Sent using Jamii Forums mobile app
50/50 kwa hisa 16 ni miujiza inayohitaji ufafanuzi wa kina.Hivi 50/50 ya faida na hasara mnaiona ndogo? Unless hiyo faida si faida ninayoijua mm bali kwenye huo mkataba neno faida lina tafsiri nyingine. Kama ni tafsiri hii hii basi tumeula na ajira si zitatoka tu tena wataajiriwa maana hawawezi kufanya kazi bila watumishi.
Mkuu unakumbuka kauli,haiba ,matamko ,hadhira mkuu wa nchi akitangazia umma Kamati Prof.Mruma/ Ossoro!? Mkuu wa nchi ni kiongozi no.1, ilikuwa habari kubwa duniani! Kisha fuatilia kilichofuata Bungeni, rejea hitimisho mikataba juzi, Ni kama mbwa aliyepigika tumeficha mkia,rejea hotuba Kabudi na mkuu.Lakin yule mkurugenzi wa Barrick amsema kuwa Tanzania haifukuzi wawekezaji bali inataka fair share!! Sidhan kama wewe una ufahamu wa madini kuliko yeye!
Na wewe punguani maelezo marefu kama headlines za gazeti la udaku halafu ujinga mtupu.Huo sio uchambuzi bali ametoa maelezo kwa ufahamu wake!
CCM ninailaumu sana katika sera ya elimu kwa sababu kuna kundi kubwa la vijana wanaojiita wahitimu wa vyuo vikuu lakini kiuhalisia bado ni wajinga wa kiwango cha sekondari (Ordinary level)!
Yaani mleta mada kwa akili yako ''kubwa'' unadhani huu ni uchambuzi?
Tatizo lenu wabongo mnashindwa kuelewa haya madini ni yetu huo ndo mtaji wetu hata kama tutakua na share kidgo ya 16% in terms of fund but mtaji wetu mwingine mkubwa out of share ni ardhi yenye madini come wabongo hivi mnawaza kwa kutumia nn ? Kwann wasiende kuchimba kwao na hizo fund zao?50/50 kwa hisa 16 ni miujiza inayohitaji ufafanuzi wa kina.
No 50/50 ya economic benefits na siyo net profit or loss,kama magufuli hawalishi wanyonge matango pori auweke huo mkataba hadharani ili tumshangilie vizuri.50/50 kwa hisa 16 ni miujiza inayohitaji ufafanuzi wa kina.
why share 16% pamoja na kuchangia ardhi na madini? Established practice gawio is in proportion to shares.Tatizo lenu wabongo mnashindwa kuelewa haya madini ni yetu huo ndo mtaji wetu hata kama tutakua na share kidgo ya 16% in terms of fund but mtaji wetu mwingine mkubwa out of share ni ardhi yenye madini come wabongo hivi mnawaza kwa kutumia nn ? Kwann wasiende kuchimba kwao na hizo fund zao?