Fatma Karume achambua suala la Barrick/Acacia & makinikia

Fatma Karume achambua suala la Barrick/Acacia & makinikia

Kwani huyu anaejiita shangazi ndo Nan? Fatuma karume ndo mwanamke gani huyu?
NOTE: Hakunaga shangazi mwenye Akili nyeupe Kama huyu F. Karume.. Vijembe vingi, kuumia kwingi, pumba nyingi harafu point za Maana hakuna.
huna unalojuwa we kilaza
 
Mzungu Jana alisema waafrika wanapenda sana kulalamika na ni kweli mtupu.
Ukisoma thread humu kuanzia jukwaa la siasa utakutana na thread za kulalamikia ccm, ukienda jukwaa la MMU utakutana na threads nyingi za kulalamikia kusalitiwa na wapenzi wao, ukienda jukwaa la celebrity utakuta threads nyingi ni za kumponda diamonds na clouds media

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hapa hata wewe umelalamika. Tena wewe ni mtu wa kwanza kukuona unalalamika upuuzi wa wachangia mada majukwaani. Hutoi facts unaishia kumuelezea mzungu. Ulitaka aongee nini ili kuwateka akili wajinga kama wewe?
 
Swali zuri kabisa. Mtaji wa wapinzani kisiasa ni uzembe na ujinga wa viongozi wa serikali ya CCM.
Serikali isingekuwa zembe na viongozi wasingefanya ya kijinga vyama vya upinzani vingekuwepo kufanya nini tena? Ukiona vyama hivyo vina shine kama ilivyo sasa, ujue ujinga na uzembe wa watawala umetamalaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Vyama vya upinzani vinashaini!!
Aliyekuuzia miwani ya macho mdai akurudishie hela zako.
 
Mkuu kwa pale ulitegemea aseme tofauti na vile?
Wale ni wafanyabiashara na sio wanasiasa!! Wanatafuta pesa!! Kama wanaona wanadhulumiwa hawawez kufanya unafiki. Statement ya mfanyabiashara pure ni 100% sure
 
Wale ni wafanyabiashara na sio wanasiasa!! Wanatafuta pesa!! Kama wanaona wanadhulumiwa hawawez kufanya unafiki. Statement ya mfanyabiashara pure ni 100% sure

Mkuu unajua unachoongea au upo kishabiki? Mo ni mfanyabiashara na alitekwa, mpaka leo umejua anachoongea? Au ukweli mimi ndio sijui maana yake nini?
 
Huo sio uchambuzi bali ametoa maelezo kwa ufahamu wake!

CCM ninailaumu sana katika sera ya elimu kwa sababu kuna kundi kubwa la vijana wanaojiita wahitimu wa vyuo vikuu lakini kiuhalisia bado ni wajinga wa kiwango cha sekondari (Ordinary level)!

Yaani mleta mada kwa akili yako ''kubwa'' unadhani huu ni uchambuzi?
Mmmh secondary level kumbe iko kwenye level ya kina Fatuma ?mtu hawezi ongea kiswahili wala kingereza? Sijui ni mchina shangazi yetu?ila akitulizwa atatulia
 
Hili swala kama lina u-siasa ndani yake hapo mbeleni itakuja fahamika tu

tujipe muda
 
Back
Top Bottom