Fatma Karume achambua suala la Barrick/Acacia & makinikia

Fatma Karume achambua suala la Barrick/Acacia & makinikia

No 50/50 ya economic benefits na siyo net profit or loss,kama magufuli hawalishi wanyonge matango pori auweke huo mkataba hadharani ili tumshangilie vizuri.
Economics benefits siyo ajabu msururu wa intangibles with no real benefit.
 
MPAKA INASEMA HIVYO THAT MEANS DAWA YA SHANGAZI IMEKUINGIA VIZURI. HEBU TULIA DAWA IKOLEEE
Mkuu umeelewa nilichokiandika lakini au umekurupuka kuqoute bandiko langu tu pasipo kusoma na kulielewa..

Narudia kuuliza maswali yangu kwa niaba yako kichwa kizito;

Huyu shangazi ndo Nan?

Huyu mwanamke anaejiita f.karume ndo Nan?

Ana uelewa gani juu ya huo mkataba?

Note: jikite kwenye kujibu kuliko kurukaruka mkuu wangu.
 
Mkuu, hivi mtaji mkubwa wa wapinzani ni nini au wao hawana mtaji mkubwa?
Swali zuri kabisa. Mtaji wa wapinzani kisiasa ni uzembe na ujinga wa viongozi wa serikali ya CCM.
Serikali isingekuwa zembe na viongozi wasingefanya ya kijinga vyama vya upinzani vingekuwepo kufanya nini tena? Ukiona vyama hivyo vina shine kama ilivyo sasa, ujue ujinga na uzembe wa watawala umetamalaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie mwenyekiti wako aupeleke huo mkataba bungeni then utaelewa ninachokisema hapa
Mzungu Jana alisema waafrika wanapenda sana kulalamika na ni kweli mtupu.
Ukisoma thread humu kuanzia jukwaa la siasa utakutana na thread za kulalamikia ccm, ukienda jukwaa la MMU utakutana na threads nyingi za kulalamikia kusalitiwa na wapenzi wao, ukienda jukwaa la celebrity utakuta threads nyingi ni za kumponda diamonds na clouds media

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni confidential bro kuwa naww waziri ili ujue yote!
Sasa kama huo mkataba unatunufaisha watanzania na ni mali ya watanzania hiyo confidentiality inatoka wapi?
 
Kwani huyu anaejiita shangazi ndo Nan? Fatuma karume ndo mwanamke gani huyu?
NOTE: Hakunaga shangazi mwenye Akili nyeupe Kama huyu F. Karume.. Vijembe vingi, kuumia kwingi, pumba nyingi harafu point za Maana hakuna.
Sidhani kama umesoma alichomaanisha, hata hivyo uwezo wa kusoma na kuchambua mambo najua huna! endelea kukurupuka kama uharo.
 
Mzungu Jana alisema waafrika wanapenda sana kulalamika na ni kweli mtupu.
Ukisoma thread humu kuanzia jukwaa la siasa utakutana na thread za kulalamikia ccm, ukienda jukwaa la MMU utakutana na threads nyingi za kulalamikia kusalitiwa na wapenzi wao, ukienda jukwaa la celebrity utakuta threads nyingi ni za kumponda diamonds na clouds media

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejiuliza why waafrica wanapenda kulalamika and why wazungu hawapendi kulalamika?
 
50/50 of economic benefits ni kama watanzania kupata ajira,kuimarisha miondombinu sehemu wanakochimba madini hayo,.Serikali itapata Divided ya hisa zake 16% basi Once they get profit. .Regarding Net profit or loss will be determined by operations na expenditures za kampuni serikali inapata au inakata fedha za murahaba ambao kwa sasa sijui ni % ngapi is it 3-5%? or
 
Magufuli alijenga political mileage na si manufaa ya taifa,kama kweli mkataba ni kwa manufaa ya wadanganyika aupeleke bungeni kwa wawakilishi wa wanyonge watuambie utofauti wa huu mkataba na ule uliosainiwa na karamagi Kule London
 
50/50 of economic benefits ni kama watanzania kupata ajira,kuimarisha miondombinu sehemu wanakochimba madini hayo,.Serikali itapata Divided ya hisa zake 16% basi Once they get profit. .Regarding Net profit or loss will be determined by operations na expenditures za kampuni serikali inapata au inakata fedha za murahaba ambao kwa sasa sijui ni % ngapi is it 3-5%? or
Tukubaliane jambo moja , net profits serekali inavuta 16% .Tuko pamoja?
 
Huyu.mzanzobari fatuma karume Ana matatizo mbo ya madini sio Jambo la muungano akome

Halafu huyu moa rushwa wa ACACIA kaandika sababu kaumia kampuni lake la ACACIA walilokuwa wakiliibia kea kujitia mawakili wake wakilipwa na kujifanya pesa za uwakili kumbe rushwa wanapokea wanaenda wapa Tundu Lisu na Zitto Kabwe

Kampuni la Imma advocates ndilo.lilikuwa likitumika kutakatisha pesa za rushwa za ACACIA na kwenda kuhonga wabunge hasa wa upinzani wakiongozwa na Zitto Kabwe na Tundu Lisu

Wataalamu wa money laundering fuatilieni akaunti za Imma advocates kipindi Cha mgogoro wa ACACIA na hizo za akina fatuma karume,Zitto Kabwe na Tundu Lisu na fuatiliane Mali walizopata kipindi hicho.pesa walitoa wapi hata Kama kwenye akaunti hazionekani
 
Mkuu umeelewa nilichokiandika lakini au umekurupuka kuqoute bandiko langu tu pasipo kusoma na kulielewa..

Narudia kuuliza maswali yangu kwa niaba yako kichwa kizito;

Huyu shangazi ndo Nan?

Huyu mwanamke anaejiita f.karume ndo Nan?

Ana uelewa gani juu ya huo mkataba?

Note: jikite kwenye kujibu kuliko kurukaruka mkuu wangu.
HILO SIO SWALI... MAANA MAJIBU UMESHA YATOA. I MEAN MAJIBU YA MASWALI YAKO UNAYO.
 
Lakin yule mkurugenzi wa Barrick amsema kuwa Tanzania haifukuzi wawekezaji bali inataka fair share!! Sidhan kama wewe una ufahamu wa madini kuliko yeye!

Mkuu kwa pale ulitegemea aseme tofauti na vile?
 
Mwambie Shangazi na wajomba zenu huko kwamba deal lao limebuma na sasa at least tunacho kitu mkononi cha kuonyesha tunapata.

Kama mkataba ni mbovu watakuja wajukuu zetu kuuboresha
Amenena shangazi Fatma Karume kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya serekali jana kuingia mkataba na "beberus" Barrick.

Tunaendelea kuliwa kama nchi..... au tutaliwa zaidi chini ya awamu ya 5 it seems. Hiki chama (CCM) nina kadi yake but moyoni kishanitoka kabisa.

Sitii neno zaidi hapa. Self-explanatory wenyewe wanasema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lenu wabongo mnashindwa kuelewa haya madini ni yetu huo ndo mtaji wetu hata kama tutakua na share kidgo ya 16% in terms of fund but mtaji wetu mwingine mkubwa out of share ni ardhi yenye madini come wabongo hivi mnawaza kwa kutumia nn ? Kwann wasiende kuchimba kwao na hizo fund zao?

Tuna uelewa wa kutosha ndio maana tunahoji, sisi wengine tumekimvia humo makanisani baada ya kuanza kuhoji na kuambiwa baadhi ya mambo inatakiwa imani. Ni hivi, tumeshatoka kwenye dunia ya imani tunataka proof, wekeni Mkataba wazi tuone ni page gani yenye hiyo 16%, na page yenye hilo gawio la 50/50, ili tuone formula iliyotumika kufikia hilo hitimisho. Kinyume na hapo itakuwa ni vichekesho kama vichekesho vingine. Hatubezi hizi jitihada za hapa tulipofikia, lakini mjue tuna akili timamu.
 
Mwambie Shangazi na wajomba zenu huko kwamba deal lao limebuma na sasa at least tunacho kitu mkononi cha kuonyesha tunapata.

Kama mkataba ni mbovu watakuja wajukuu zetu kuuboresha

Sent using Jamii Forums mobile app

Hatutaki wajukuu wetu waje watudharau ndio maana tunahoji ili wajue kulikuwa na wenye akili, lakini hatukuwa na maamuzi.
 
Back
Top Bottom