simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Economics benefits siyo ajabu msururu wa intangibles with no real benefit.No 50/50 ya economic benefits na siyo net profit or loss,kama magufuli hawalishi wanyonge matango pori auweke huo mkataba hadharani ili tumshangilie vizuri.
Mkuu umeelewa nilichokiandika lakini au umekurupuka kuqoute bandiko langu tu pasipo kusoma na kulielewa..MPAKA INASEMA HIVYO THAT MEANS DAWA YA SHANGAZI IMEKUINGIA VIZURI. HEBU TULIA DAWA IKOLEEE
Swali zuri kabisa. Mtaji wa wapinzani kisiasa ni uzembe na ujinga wa viongozi wa serikali ya CCM.Mkuu, hivi mtaji mkubwa wa wapinzani ni nini au wao hawana mtaji mkubwa?
Unajua economic benefits? Unaweza hata kuielezea kwa mfano hata mmoja?No 50/50 ya economic benefits na siyo net profit or loss,kama magufuli hawalishi wanyonge matango pori auweke huo mkataba hadharani ili tumshangilie vizuri.
Mwambie mwenyekiti wako aupeleke huo mkataba bungeni then utaelewa ninachokisema hapaUnajua economic benefits? Unaweza hata kuielezea kwa mfano hata mmoja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni confidential bro kuwa naww waziri ili ujue yote!why share 16% pamoja na kuchangia ardhi na madini? Established practice gawio is in proportion to shares.
Mzungu Jana alisema waafrika wanapenda sana kulalamika na ni kweli mtupu.Mwambie mwenyekiti wako aupeleke huo mkataba bungeni then utaelewa ninachokisema hapa
Sasa kama huo mkataba unatunufaisha watanzania na ni mali ya watanzania hiyo confidentiality inatoka wapi?Hiyo ni confidential bro kuwa naww waziri ili ujue yote!
Sidhani kama umesoma alichomaanisha, hata hivyo uwezo wa kusoma na kuchambua mambo najua huna! endelea kukurupuka kama uharo.Kwani huyu anaejiita shangazi ndo Nan? Fatuma karume ndo mwanamke gani huyu?
NOTE: Hakunaga shangazi mwenye Akili nyeupe Kama huyu F. Karume.. Vijembe vingi, kuumia kwingi, pumba nyingi harafu point za Maana hakuna.
Umejiuliza why waafrica wanapenda kulalamika and why wazungu hawapendi kulalamika?Mzungu Jana alisema waafrika wanapenda sana kulalamika na ni kweli mtupu.
Ukisoma thread humu kuanzia jukwaa la siasa utakutana na thread za kulalamikia ccm, ukienda jukwaa la MMU utakutana na threads nyingi za kulalamikia kusalitiwa na wapenzi wao, ukienda jukwaa la celebrity utakuta threads nyingi ni za kumponda diamonds na clouds media
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli alijenga political mileage na si manufaa ya taifa,kama kweli mkataba ni kwa manufaa ya wadanganyika aupeleke bungeni kwa wawakilishi wa wanyonge watuambie utofauti wa huu mkataba na ule uliosainiwa na karamagi Kule London50/50 of economic benefits ni kama watanzania kupata ajira,kuimarisha miondombinu sehemu wanakochimba madini hayo,.Serikali itapata Divided ya hisa zake 16% basi Once they get profit. .Regarding Net profit or loss will be determined by operations na expenditures za kampuni serikali inapata au inakata fedha za murahaba ambao kwa sasa sijui ni % ngapi is it 3-5%? or
Tukubaliane jambo moja , net profits serekali inavuta 16% .Tuko pamoja?50/50 of economic benefits ni kama watanzania kupata ajira,kuimarisha miondombinu sehemu wanakochimba madini hayo,.Serikali itapata Divided ya hisa zake 16% basi Once they get profit. .Regarding Net profit or loss will be determined by operations na expenditures za kampuni serikali inapata au inakata fedha za murahaba ambao kwa sasa sijui ni % ngapi is it 3-5%? or
HILO SIO SWALI... MAANA MAJIBU UMESHA YATOA. I MEAN MAJIBU YA MASWALI YAKO UNAYO.Mkuu umeelewa nilichokiandika lakini au umekurupuka kuqoute bandiko langu tu pasipo kusoma na kulielewa..
Narudia kuuliza maswali yangu kwa niaba yako kichwa kizito;
Huyu shangazi ndo Nan?
Huyu mwanamke anaejiita f.karume ndo Nan?
Ana uelewa gani juu ya huo mkataba?
Note: jikite kwenye kujibu kuliko kurukaruka mkuu wangu.
Lakin yule mkurugenzi wa Barrick amsema kuwa Tanzania haifukuzi wawekezaji bali inataka fair share!! Sidhan kama wewe una ufahamu wa madini kuliko yeye!
50/50 kwa hisa 16 ni miujiza inayohitaji ufafanuzi wa kina.
Amenena shangazi Fatma Karume kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya serekali jana kuingia mkataba na "beberus" Barrick.
Tunaendelea kuliwa kama nchi..... au tutaliwa zaidi chini ya awamu ya 5 it seems. Hiki chama (CCM) nina kadi yake but moyoni kishanitoka kabisa.
Sitii neno zaidi hapa. Self-explanatory wenyewe wanasema.
Tatizo lenu wabongo mnashindwa kuelewa haya madini ni yetu huo ndo mtaji wetu hata kama tutakua na share kidgo ya 16% in terms of fund but mtaji wetu mwingine mkubwa out of share ni ardhi yenye madini come wabongo hivi mnawaza kwa kutumia nn ? Kwann wasiende kuchimba kwao na hizo fund zao?
Mwambie Shangazi na wajomba zenu huko kwamba deal lao limebuma na sasa at least tunacho kitu mkononi cha kuonyesha tunapata.
Kama mkataba ni mbovu watakuja wajukuu zetu kuuboresha
Sent using Jamii Forums mobile app