Fatma Karume achambua suala la Barrick/Acacia & makinikia

Kwani huyu anaejiita shangazi ndo Nan? Fatuma karume ndo mwanamke gani huyu?
NOTE: Hakunaga shangazi mwenye Akili nyeupe Kama huyu F. Karume.. Vijembe vingi, kuumia kwingi, pumba nyingi harafu point za Maana hakuna.
huna unalojuwa we kilaza
 
Mbona hapa hata wewe umelalamika. Tena wewe ni mtu wa kwanza kukuona unalalamika upuuzi wa wachangia mada majukwaani. Hutoi facts unaishia kumuelezea mzungu. Ulitaka aongee nini ili kuwateka akili wajinga kama wewe?
 
Duh! Vyama vya upinzani vinashaini!!
Aliyekuuzia miwani ya macho mdai akurudishie hela zako.
 
Mkuu kwa pale ulitegemea aseme tofauti na vile?
Wale ni wafanyabiashara na sio wanasiasa!! Wanatafuta pesa!! Kama wanaona wanadhulumiwa hawawez kufanya unafiki. Statement ya mfanyabiashara pure ni 100% sure
 
Wale ni wafanyabiashara na sio wanasiasa!! Wanatafuta pesa!! Kama wanaona wanadhulumiwa hawawez kufanya unafiki. Statement ya mfanyabiashara pure ni 100% sure

Mkuu unajua unachoongea au upo kishabiki? Mo ni mfanyabiashara na alitekwa, mpaka leo umejua anachoongea? Au ukweli mimi ndio sijui maana yake nini?
 
Mmmh secondary level kumbe iko kwenye level ya kina Fatuma ?mtu hawezi ongea kiswahili wala kingereza? Sijui ni mchina shangazi yetu?ila akitulizwa atatulia
 
Hili swala kama lina u-siasa ndani yake hapo mbeleni itakuja fahamika tu

tujipe muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…