ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,118
Itakuwa ameungua vibaya sana, au amesalimika?Katika chapisho lenye maneno makali kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), mwanasheria na mwanaharakati mashuhuri Fatma Karume amemshambulia vikali Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kwa kile alichokiita nia ya kutaka “misikiti iwe kama Sunday Schools.”
Kauli hiyo imeibua mjadala mzito kuhusu uhuru wa ibada, na chuki za kidini nchini zinazoenezwa na kiongozi huyo wa kanisa.
Fatma amelaumu unafiki wa baadhi ya watu wanaomuita yeye mdini kwa kuhoji matamshi ya Gwajima, ilhali Gwajima ambaye amewahi kupendekeza kufungwa kwa misikiti na kuigeuza kuwa Sunday Schools hapati lawama, bali anapewa sifa za "shujaa" kwa kukemea tukio moja tu la utekaji.
“Yeye anayetaka kufunga misikiti si mdini, bali ni hero wenu kwa kuwa alidiriki kukemea utekaji mara moja tu. Mie niliyekemea consistently, mie ndiye mdini? Shukran ya punda mateke!” ameandika Fatma kwa hisia kali.
Netanyahu anatafuta wapumbavu kama wewe.Bampa to bampa, Waislamu hakuna kurudi nyuma. Akiendelea kutukashifu tuvamie kikanisa chake tukamshughulikie kwa maneno makali live, tukamwambie akome.
Tutawachokonoa vinyesi vyenu .... Endeleeni kujidanganyaBampa to bampa, Waislamu hakuna kurudi nyuma. Akiendelea kutukashifu tuvamie kikanisa chake tukamshughulikie kwa maneno makali live, tukamwambie akome.
kabla hamjafika hapo mtapigwa upofu na kupoteana na njia yenu itakuwa na utelezi. Acha kushadidia propaganda za wanasiasa wanaotumia dini kwa maslahi ya kisiasa, kenge weBampa to bampa, Waislamu hakuna kurudi nyuma. Akiendelea kutukashifu tuvamie kikanisa chake tukamshughulikie kwa maneno makali live, tukamwambie akome.
Ukiona wasomi wanaanza kubishana mambo ya dini, ujue ni upuuzi mwingine huoKatika chapisho lenye maneno makali kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), mwanasheria na mwanaharakati mashuhuri Fatma Karume amemshambulia vikali Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kwa nia ya kutaka “misikiti igeuzwe kuwa Sunday Schools.”
Kauli hiyo imeibua mjadala mzito kuhusu uhuru wa ibada, na chuki za kidini nchini zinazoenezwa na kiongozi huyo wa kanisa.
Fatma amelaumu unafiki wa baadhi ya watu wanaomuita yeye mdini kwa kuhoji matamshi ya Gwajima, ilhali Gwajima ambaye amewahi kupendekeza kufungwa kwa misikiti na kuigeuza kuwa Sunday Schools hapati lawama, bali anapewa sifa za "shujaa" kwa kukemea tukio moja tu la utekaji.
“Yeye anayetaka kufunga misikiti si mdini, bali ni hero wenu kwa kuwa alidiriki kukemea utekaji mara moja tu. Mie niliyekemea consistently, mie ndiye mdini? Shukran ya punda mateke!” ameandika Fatma kwa hisia kali.
"Hata akisalimika, nakuhakikishia hatotamanika. Vita dhidi ya Waislamu haishii kwenye nyama kwa nyama, bali hadi rohoni. Wiki hii yote hatopata choo; tumekaa itikafu kushughulikia mja laana yule, na in shaa Allah matokeo hayatajificha.Itakuwa ameungua vibaya sana, au amesalimika?
Miongoni mwa mabalaa mazito kwa waja, moja wapo litakukuta katika wiki hii kama funzo na somo kwa hii statement yako.Tutawachokonoa vinyesi vyenu .... Endeleeni kujidanganya
Kyuuuuuma wewe"Hata akisalimika, nakuhakikishia hatotamanika. Vita dhidi ya Waislamu haishii kwenye nyama kwa nyama, bali hadi rohoni. Wiki hii yote hatopata choo; tumekaa itikafu kushughulikia mja laana yule, na in shaa Allah matokeo hayatajificha.
Huwezi kudharau dini yetu, tukakuacha hivihivi.
Huo ujinga wako peleka huko msikitini,,akili yako imeoza weweMiongoni mwa mabalaa mazito kwa waja, moja wapo litakukuta katika wiki hii kama funzo na somo kwa hii statement yako.
Na twibba ya hilo tatizo au balaa litakuwa ni wewe kuja kuwaomba waislamu msamaha hapa jukwaani.
Una tatizo la kujitolea 😂😂.Miongoni mwa mabalaa mazito kwa waja, moja wapo litakukuta katika wiki hii kama funzo na somo kwa hii statement yako.
Na twibba ya hilo tatizo au balaa litakuwa ni wewe kuja kuwaomba waislamu msamaha hapa jukwaani.
once unakuwa muumini wa dini hiyo akili huondoka na umaamuma huchukua nafasi ya akili. Msomi mzima huwezi kushadidia udini ni upuuzi mtupuUkiona wasomi wanaanza kubishana mambo ya dini, ujue ni upuuzi mwingine huo
Peleka ujinga huko"Hata akisalimika, nakuhakikishia hatotamanika. Vita dhidi ya Waislamu haishii kwenye nyama kwa nyama, bali hadi rohoni. Wiki hii yote hatopata choo; tumekaa itikafu kushughulikia mja laana yule, na in shaa Allah matokeo hayatajificha.
Huwezi kudharau dini yetu, tukakuacha hivihivi.
Uzuri ni kwamba mnatujua vzr sana.Peleka ujinga huko
Vaa bomu ujilipue sasa
Nani anakujua mzee Vaa bomu ujilipue ndio utajulikanaUzuri ni kwamba mnatujua vzr sana.