Fatma Karume amlipua Gwajima kwa kutaka Misikiti kugeuzwa Sunday Schools

Katika chapisho lenye maneno makali kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), mwanasheria na mwanaharakati mashuhuri Fatma Karume amemshambulia vikali Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kwa nia ya kutaka “misikiti igeuzwe kuwa Sunday Schools.”

Kauli hiyo imeibua mjadala mzito kuhusu uhuru wa ibada, na chuki za kidini nchini zinazoenezwa na kiongozi huyo wa kanisa.

Fatma amelaumu unafiki wa baadhi ya watu wanaomuita yeye mdini kwa kuhoji matamshi ya Gwajima, ilhali Gwajima ambaye amewahi kupendekeza kufungwa kwa misikiti na kuigeuza kuwa Sunday Schools hapati lawama, bali anapewa sifa za "shujaa" kwa kukemea tukio moja tu la utekaji.

“Yeye anayetaka kufunga misikiti si mdini, bali ni hero wenu kwa kuwa alidiriki kukemea utekaji mara moja tu. Mie niliyekemea consistently, mie ndiye mdini? Shukran ya punda mateke!” ameandika Fatma kwa hisia kali.

Fatma ni mpuuzi. Issue ni je anachokipiganiani cha kweli? Kina mantiki? Issue siyo dini hapa ni kwa wote waislamu na wakristo na wasiokuwa na dini! Ali Kibao alikuwa Mkristo?
Hiki kibinti ni kidini na kina ubaguzi wa uzanzibari na ubara! Kishenzi sana
 
Tangu muislamu mwenzakke awe rais kilinyamaza tuli kama vile hakioni yanayotendeka ya kuteka watu
 
ARV anazomeza fatuma karume zimeisha mda wake kachanganyikiwa kwa Akili zake ndogo kaamua kuchukua video za mwaka 47 kulazimisha itumika sasa kisa makala kamhonga pesa haramu za kishetani
 
Fatma ni mpuuzi. Issue ni je anachokipiganiani cha kweli? Kina mantiki? Issue siyo dini hapa ni kwa wote waislamu na wakristo na wasiokuwa na dini! Ali Kibao alikuwa Mkristo?
Hiki kibinti ni kidini na kina ubaguzi wa uzanzibari na ubara! Kishenzi sana
Fatuma karume kapewa pesa za Amos makala ili afanye kazi kama ya ponjoro Abas Tarimba Jerry muro mvuta bangi, lakini Fatuma kwa ufala wake kachukua video ya mwaka 47 kama kisingizio cha kuleta fujo akidhani watanzania wamelala, kumbe wanajua ana njaa kali na ukimwi anausambaza kifalafala
 
Acheni kutumia Imani, kama kutusi nyinyi mara ngapi mashekh wenu hutusi Wakristo? Mnatuita kila siku makafili, hilo neno hatujui ni shetani wa kutumwa ama wa nini. Kwanini hamkumvaa kipindi hiko?

Mnasubiri katoa hoja ya kukemea kutekana, mnaibuka na yaliyopita. Kipi kilishindikana kusema haya kipindi hiko? Mnatetea utekaji na uuwaji? Msianze siasa za udini, Tz watu wameoleana kati ya hizo dini mbili, wengine ni ndugu wa damu kati ya hizo dini mbili, ni majirani, ni marafiki, ni wameungana kibiashara.

Mmeona hamna hoja za kumjibu sasa mnataka watu wachague upande. Hiyo haitatokea kuna Waislamu wenye akili wataling'amua hili, mtabaki msio na akili mkipigia debe hili. Wapumbavu wakubwa nyie mshxxxxiiieeewww
 
Huyo msagaji fatuma karume hamjui Gwajiboy
Sitaki kujua unachokisema kama kina ukweli au laa kwa sababu hakuna ushahidi wa hilo. Ni mwendelezo wa chuki zenu dhidi ya waislamu...ila kuhusu Gwajima kucheza filamu za utupu ipo wazi kwa sababu ushahidi wake upo!

Udini haukubaliki nchini, Waislamu lazima waheshimiwe iwe kwa hiari au shuruti...

Msipozingatia hilo tutakichafua
 
Fatuma karume ponjoro Abas Tarimba lao ni moja ingawa chamaccm vikundi vya kishetani sasa vipo pamoja nae
 
Tumsamehe kwenye mapungufu yake kama haya ili hoja yake iendelee kusimama
 
Acheni kutumia Imani, kama kutusi nyinyi mara ngapi mashekh wenu hutusi Wakristo? Mnatuita kila siku makafili, hilo neno hatujui ni shetani wa kutumwa ama wa nini. Kwanini hamkumvaa kipindi hiko?

Mnasubiri katoa hoja ya kukemea kutekana, mnaibuka na yaliyopita. Kipi kilishindikana kusema haya kipindi hiko? Mnatetea utekaji na uuwaji? Msianze siasa za udini, Tz watu wameoleana kati ya hizo dini mbili, wengine ni ndugu wa damu kati ya hizo dini mbili, ni majirani, ni marafiki, ni wameungana kibiashara.

Mmeona hamna hoja za kumjibu sasa mnataka watu wachague upande. Hiyo haitatokea kuna Waislamu wenye akili wataling'amua hili, mtabaki msio na akili mkipigia debe hili. Wapumbavu wakubwa nyie mshxxxxiiieeewww
Video mpya za juzi hakuna sehemu Gwajima kasema vibaya waislam zaidi ya kukemea mauaji ya shekhe kule Zanzibar, kinachofanyika sasa ni kuchukua video za mwaka 47 kutengeneza uchonganishi wa kifala fala huku Fatuma karume akijitoa fahamu baada ya kuhongwa na ccm ni matumizi mayaya ya pesa za walipa kodi
 
Tangu muislamu mwenzakke awe rais kilinyamaza tuli kama vile hakioni yanayotendeka ya kuteka watu

Fatuma karume ponjoro Abas Tarimba lao ni moja ingawa chamaccm vikundi vya kishetani sasa vipo pamoja nae
Sio hao tu. Waislamu wote letu ni moja. Linapokuja suala la muislam mmoja huwa tunaweza kuvumilia, ila linapokuja suala la uislamu hatuachi. Hata kufa tupo tayari lakini sio kuona uislamu unadhalilishwa na waabudu mashetani na wacheza picha za uchi.
Fatuma karume ponjoro Abas Tarimba lao ni moja ingawa chamaccm vikundi vya kishetani sasa vipo pamoja nae
 
Tumsamehe kwenye mapungufu yake kama haya ili hoja yake iendelee kusimama
Hoja za Fatuma karume ni Hoja za kishetani kwani video ya sasa yenye kukataa mauaji utekaji hawataki kuijadili badala yake wameenda kuchukua video za mwaka 47 kutaka zitumike sasa kuleta ubaguzi wa kidini wakati utekaji na mauaji havina Dini
 
Usitadhijuma kamuua shekhe Zanzibar mpaka leo hajahojiwa mpaka kajitoa fahamu anatetea mauaji na utakaji
 
Sio hao tu. Waislamu wote letu ni moja. Linapokuja suala la muislam mmoja huwa tunaweza kuvumilia, ila linapokuja suala la uislamu hatuachi. Hata kufa tupo tayari lakini sio kuona uislamu unadhalilishwa na waabudu mashetani na wacheza picha za uchi.
Shekhe kafa Zanzibar baada ya wewe kumtaka na kumuua upo wapi umoja huko? Kuna umoja kwenye mauaji ya soka? Udini wako wa kifala fala usiwambukize waislam safi wapenda Amani
 
Endelea kujidanganya tu. Siku tutakayoamua liwalo na liwe, mtatafuta uvungu wa kujificha.
 
Dua zako za kuku haziwezi fanikiwa usifikiri waislam wengine ni wapumbavu kama wewe na Fatuma karume single sugu mnayeambukizana ukimwi na kujitoa fahamu
 
wanaume wameingia vitani huyu bibi atulie
Fatuma karume kaja kifala fala atajutia kumsogelea Gwajima kwani ataanika madhambi yake yote ikiwemo uhuni wake na vijana wadogo baada ya kuachana na bwana ake
 
Dua zako za kuku haziwezi fanikiwa usifikiri waislam wengine ni wapumbavu kama wewe na Fatuma karume single sugu mnayeambukizana ukimwi na kujitoa fahamu
In shaa Allah litakukuta jambo.
 
Back
Top Bottom