Fatma Karume amlipua Gwajima kwa kutaka Misikiti kugeuzwa Sunday Schools

Fatma Karume amlipua Gwajima kwa kutaka Misikiti kugeuzwa Sunday Schools

Kw
KwaKatika chapisho lenye maneno makali kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), mwanasheria na mwanaharakati mashuhuri Fatma Karume amemshambulia vikali Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kwa nia ya kutaka “misikiti igeuzwe kuwa Sunday Schools.”

Kauli hiyo imeibua mjadala mzito kuhusu uhuru wa ibada, na chuki za kidini nchini zinazoenezwa na kiongozi huyo wa kanisa.

Fatma amelaumu unafiki wa baadhi ya watu wanaomuita yeye mdini kwa kuhoji matamshi ya Gwajima, ilhali Gwajima ambaye amewahi kupendekeza kufungwa kwa misikiti na kuigeuza kuwa Sunday Schools hapati lawama, bali anapewa sifa za "shujaa" kwa kukemea tukio moja tu la utekaji.

“Yeye anayetaka kufunga misikiti si mdini, bali ni hero wenu kwa kuwa alidiriki kukemea utekaji mara moja tu. Mie niliyekemea consistently, mie ndiye mdini? Shukran ya punda mateke!” ameandika Fatma kwa hisia kali.

Kwahiyo hakubaliani na hoja zake za utekaji kwa sababu alitaka misikiti iwe sunday schools?
 
Screenshot 2025-06-02 090039.png
 
V
Kw

Kwahiyo hakubaliani na hoja zake za utekaji kwa sababu alitaka misikiti iwe sunday schools?
Vyovyote itakavyokuwa..Uislamu kwanza mengine baadae...nyinyi mna mpango wa kuifuta dini ya Allah hapa nchini...Na Wallah thuma Wallah hamtafanikiwa.
 
kabla hamjafika hapo mtapigwa upofu na kupoteana na njia yenu itakuwa na utelezi. Acha kushadidia propaganda za wanasiasa wanaotumia dini kwa maslahi ya kisiasa, kenge we
Mna bahati kibanda chenu cha kinyamkera kimefungwa. Bila hivyo, ningekuja kukipiga kiberiti kwa mkono wangu.

Washenzi nyie
 
Bampa to bampa, Waislamu hakuna kurudi nyuma. Akiendelea kutukashifu tuvamie kikanisa chake tukamshughulikie kwa maneno makali live, tukamwambie akome.
Typical Muislam, hivi ni wapi alipowakashifu, kule kwa kuwaambia ukweli au? Msiende kanisani kwake kumshughulikia kwa maneno nyie fanyeni kama ndugu zenu wengine, vaeni mabomu mwilini mkajilipue kanisani kwake mkifa muende motoni kulala na hao mabikra 72 wanaonuka shombo.
 
"Hata akisalimika, nakuhakikishia hatotamanika. Vita dhidi ya Waislamu haishii kwenye nyama kwa nyama, bali hadi rohoni. Wiki hii yote hatopata choo; tumekaa itikafu kushughulikia mja laana yule, na in shaa Allah matokeo hayatajificha.

Huwezi kudharau dini yetu, tukakuacha hivihivi.
Wewe utakua pungusese unachezewa mafi bila shaka
 
Miongoni mwa mabalaa mazito kwa waja, moja wapo litakukuta katika wiki hii kama funzo na somo kwa hii statement yako.

Na twibba ya hilo tatizo au balaa litakuwa ni wewe kuja kuwaomba waislamu msamaha hapa jukwaani.
Huyo jamaa alipata hilo balaa?
Je aliwaomba waislamu msamaha?

Au ni balaa MC ndo alilipata
 
Udini una madhara makubwa sana kwa umoja wa kitaifa.
 
Back
Top Bottom