Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

Wanaona raha kubaki na mawakili vilaza tu, watu competent mnawaondoa, mnataka muwatawale mawazo yao na uhuru wao wanakataa kwasababu wanajitambua, endeleeni kubaki na hao mawakili wasiojielewa muwatumie mtakavyo ila jamii iliyostaarabika inajua tatizo liko wapi.
 
Raisi wa TLS wa Sasa Sio Mtu Kabisa Anatumika Vibaya na wakoloni wa CCM.
 
kuitwa shangazi sio mchezo !

mnaotaka kujua makosa yake mngeenda huko huko ilikotilewa hukumu msisumbue watu humu JF ...
 
maamuzi hayo yatakuwa fundisho kwake na kwa wenye tabia za kudharau mamlaka.
hakuna ambaye yupo juu ya sheria... haijalishi wewe ni nani au mtoto wa nani... sheria ni msumeno
 
Mahakama kuu iliamuru Fatma apelekwe kamati ya maaadili ya mawakili kwa kosa la kushambulia ofisi ya mwanasheria mkuu ambae ndiye alikuwa wakili wa Ado Shaibu katika kesi hiyo.
Atapiga za Ulaya maana ana Leseni achana na wachumia tumbo wa local courts
 
kuitwa shangazi sio mchezo !

mnaotaka kujua makosa yake mngeenda huko huko ilikotilewa hukumu msisumbue watu humu JF ...
 
Hawajajifunza kwa yule mwanadada msomi, kama sijakosea binti wa malecela waliemtuhumu kutumika na wanaowaita mabeberu kutangaza ugonjwa wa zika, she is now working with UN.
 
Makosa yake ni yepi? Huyu mama mwaka huu analo, kule Imma advocates wamemtimua na huku nako pia
Wewe ndio ujionee huruma!!! Yaani kwa akili zaki una furahi kabisa, huyu ana shida gani? Kwenye orodha ya mawakili huko UK, yupo na anatambulika, na ndiko muda mwingi alikuwa anafanya kazi zake za uwakili, ufikirie atakufa njaa!!! Mawazo ya mwafrika bwana!!!
 
Halafu Fereshi alimkuta na hatia ya kumshambulia Mwanasheria mkuu wa Serikali, wajuzi tusaidia mtu kuoji uhalali na sifa za uteuzi wa AG ni kosa la kiu - WAKILI?
 
Makosa yake ni yepi? Huyu mama mwaka huu analo, kule Imma advocates wamemtimua na huku nako pia
Kule walimtimua baada ya kuona mwelekeo wa kutoshinda shauri lake na Ofisi ya judge mkuu. Wakaona isiwe shida
 
Hawajajifunza kwa yule mwanadada msomi, kama sijakosea binti wa malecela waliemtuhumu kutumika na wanaowaita mabeberu kutangaza ugonjwa wa zika, she is now working with UN.
UN nini mzee, yule mama alikuwa MD wa NIMR uko UN ni status tu ndio mana unaona Tibaijuka na migiro walikuwa retired Uko UN ila still wamerudi kuomba ubunge, mtu hata uwe na kazi gani nje still ukimaliza muda wako uko utakuja tu kuomba upewe pewe Vyeo watu kama Mark mwandosya na Andrew Chege vichwa haswa vilivoaminika mpaka na Nyerere unadhani walikosa kazi nje, na mahiga je?

Uyo Fatuma hata apewe cheo gani nje still atataka tu kurudi ili apambane na siasa za nyumbani mana ni Ziko paid na Unakuwa Na pride uko UN nobody cares, ni mwendo wa homesick tu
Hakuna kama nyumbani
 
Wewe ndio ujionee huruma!!! Yaani kwa akili zaki una furahi kabisa, huyu ana shida gani? Kwenye orodha ya mawakili huko UK, yupo na anatambulika, na ndiko muda mwingi alikuwa anafanya kazi zake za uwakili, ufikirie atakufa njaa!!! Mawazo ya mwafrika bwana!!!
Kuna alipoonyesha kwamba amefurahia?
 
Back
Top Bottom