Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

..hawajamnyang'anya elimu, ujuzi, na utaalamu alionao.

..bado anaweza kufanya kazi za kitaalamu ila hataweza kuwakilisha wateja mahakama kuu.
 

Mahakama kuu iliamuru Fatma apelekwe kamati ya maaadili ya mawakili kwa kosa la kushambulia ofisi ya mwanasheria mkuu ambae ndiye alikuwa wakili wa Ado Shaibu katika kesi hiyo.
Kama hii sheria / kosa la kushambulia ofisi ya mwanasheria mkuu ipo basi haifai na ifutwe..., haya mambo ya kusema taasisi fulani / watu fulani hawawezi kushambuliwa au kukosolewa ni nzuri mpaka pale taasisi hizo zinapokosea au kufanya makosa...., sasa hapo ni nani wa kuwashambulia na kuwakosoa?
 
Back
Top Bottom