Fatma Karume atuma salamu kwa CHADEMA: "Nawasubiri na udini na ukabila wenu"

Fatma Karume atuma salamu kwa CHADEMA: "Nawasubiri na udini na ukabila wenu"

Huyu madame anatafuta upenyo aliminywa mno mpaka ofisi iliungua enzi zile.

Pengine sasa atatajwa hata kuwa mkuu wa kitengo fulani.

Watafune hivyo hivyo hamna namna utakumbukwa tu madame
 
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.

Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.

Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.

View attachment 2246863
Salamu hizo ampelekee bwana wake Zitto Kabwe
 
Back
Top Bottom