Fatma Karume atuma salamu kwa CHADEMA: "Nawasubiri na udini na ukabila wenu"

Fatma Karume atuma salamu kwa CHADEMA: "Nawasubiri na udini na ukabila wenu"

Fatma amekosea sana kuanzisha vita na Chadema kwa sababu kuna wafuasi au wanaojiita wafuasi wake kumshambulia kwa sababu alikubali mwaliko wa Kikosi Kazi. Kule ni twitter na mtu yeyote anaweza kusema lolote kwa identity yeyote. Pamoja na hayo, watu wana haki ya kutofautiana nae.

Kama anataka uongozi wa CDM umkanye kila anaemtukana atakuwa hawatendei haki maana Mbowe aliisha wakataza mara kadhaa wanachama na wafuasi wa Chadema kuhusu kutumia lugha zisizofaa. Sijasikia kiongozi yeyote wa chama kingine akiwakanya wanachama na wafuasi wa chama chake kama alivyofanya Lema. Wote wako busy kuwanyooshea vidole vyama vingine na sio vyao. Yeye alipaswa kupambana na aliyemtukana bila kuingiza Chadema. Twitter ni uwanja wa matusi na kebehi kutoka pande zote. Anapojifanya kuona matusi yanapoelekezwa kwake tu ndio tunakosa imani nae.

Kama ana ushahidi kuwa wakina Lema na Mnyika ndio wanao orchestrate mashambulio hayo, auweke wazi ili wote tuone unafik wao.

Amandla...
 
Kinachosikitisha ni kuwa kama Mheshimiwa Rais atasahihisha dhulma aliyofanyiwa Fatma na kumrudishia leseni kuna watu wataona kuwa ni zawadi ya kukubali mualiko wa kikosi kazi na mashambulizi yake dhidi ya Chadema!

Amandla...
 
Maria Sarungi atakuwa anachanganyikwa kuona lishangazi jenzake linaasi kambi
 
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.

Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.

Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.

View attachment 2246863
Huyu ajuza inaonekana amechoka kuishi
 
Mie nimesoma Tanga na wasichana wengi sana waitwa Hadija, Amina, Mwanamkasi, Fatuma, Batuli, Barbara au Mwanaiddi, lakini sikuwahi kusoma na Fatma. Au huyu ni Fatumayuleyule lakini civilised?
 
Ulitaka Mbowe afanyeje. Amepewa nafasi ya mazungumzo na Rais akatae?. Au ulitaka Mbowe aanzishe kikundi Cha uasi napo ungeponda.
Afanyeje? Anakutanaje na Rais wa serikali ambayo haitambui, ambayo kwa mujibu wa yeye ni kwamba imeingia madarakani "kwa kuiba kura" Kabla kukutana na Rais hatujawahi kusikia tamko la kuitambua serikali hii halali. Hapo ndipo alipofeli kisiasa. Tukumbuke serikali hii hii ya mama ndiyo iliyomshitaki Mbowe na si ya JPM, tusijisahaulishe kwenye hili. Huyo shangazi yenu uchwara hakutaja hili
 
We una ukilaza sana. Unafikiri kisiasa mpaka mtu ataje jina la chama ndo ujue amewakusudia Chadomo? Read between the lines!
Kilaza ni wewe mwenyewe usiyejua maana ya uthibitisho fala kabisa.
 
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.

Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.

Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.

View attachment 2246863
[emoji817] kaiponda ccm na wafuasi wa dikteta marehemu. Sifa zote hapo hazihusiani na chadema
 
Acha uzushi.!
 
Attachments

  • Screenshot_20220603-061201_Twitter.jpg
    Screenshot_20220603-061201_Twitter.jpg
    102.6 KB · Views: 9
[emoji817] kaiponda ccm na wafuasi wa dikteta marehemu. Sifa zote hapo hazihusiani na chadema
Mnajifariji lakini fatuma kawapa ujumbe na umewafikia. Chama cha wachaga na kkkt 😂😂😂
 
Back
Top Bottom