Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Fatma amekosea sana kuanzisha vita na Chadema kwa sababu kuna wafuasi au wanaojiita wafuasi wake kumshambulia kwa sababu alikubali mwaliko wa Kikosi Kazi. Kule ni twitter na mtu yeyote anaweza kusema lolote kwa identity yeyote. Pamoja na hayo, watu wana haki ya kutofautiana nae.
Kama anataka uongozi wa CDM umkanye kila anaemtukana atakuwa hawatendei haki maana Mbowe aliisha wakataza mara kadhaa wanachama na wafuasi wa Chadema kuhusu kutumia lugha zisizofaa. Sijasikia kiongozi yeyote wa chama kingine akiwakanya wanachama na wafuasi wa chama chake kama alivyofanya Lema. Wote wako busy kuwanyooshea vidole vyama vingine na sio vyao. Yeye alipaswa kupambana na aliyemtukana bila kuingiza Chadema. Twitter ni uwanja wa matusi na kebehi kutoka pande zote. Anapojifanya kuona matusi yanapoelekezwa kwake tu ndio tunakosa imani nae.
Kama ana ushahidi kuwa wakina Lema na Mnyika ndio wanao orchestrate mashambulio hayo, auweke wazi ili wote tuone unafik wao.
Amandla...