Fatma Karume atuma salamu kwa CHADEMA: "Nawasubiri na udini na ukabila wenu"

Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.

Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.

Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.

View attachment 2246863
Wazanzibari wameunganishwa na urais wa Mzanzibari mwenzao, fatma sikudhani kama anaweza kuingia kwenye ujinga kama huu
 
jibuni swali lake

unakataa kufanya kazi na chombo alichounda Rais unaenda kufanya nae kazi yeye mwenyewe wakati mnajua mnayoongea nae lazima apeleke kwny kikosi kazi chake ili wamshauri

kuna Mkongwe mmoja wa ndani ya CCM kwa kebehi alikuwa anasema tatizo sio kikosi kazi cha Rais …tatizo ni uwepo wa adui yao Mkubwa wa kisiasa Zitto Kabwe kuwemo mule

Mama akimtoa Zitto watakubali kuingia maana kama tatizo lingekuwa CCM mbona wanakutana nao kwny vikao na Mama?
Wazanzibari wameunganishwa na urais wa Mzanzibari mwenzao, fatma sikudhani kama anaweza kuingia kwenye ujinga kama huu
 
Narudia tena hii kauli yangu...

Mara nyingi Kiongozi wa Nchi akiwa Muislam huwa wakatoliki wanaleta Sana chokochoko..

Mimi sio Muislam ila hii trend nimeiona Sana ,Wakristo hasa Katoliki mna matatizo gani nyie?

Matokeo ya roho mbaya za choyo na ukatili za Wakristo waliowahi kuwa MaRais wote wamelala.
toa mafano wa mkataoliki....amabaye anaona ni vibaya mislam kua madarakani.....

au umewashwa tu ?..
 
Huyu mama anatia huruma saana. Ndio maana akiwatetea mashoga alisema eti mtu anaruhusiwa kuutumia mwili waka atakavyo. Kwake maadili au dini hazina nafasi. Halafu mtu unakuwa serious kusikiliza kiumbe kama Fatuma?
Wapi amesema CHADEMA?
 
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.

Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.

Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.

View attachment 2246863
itakuwa alishapuliza shisha kabla ya tweet hii....anasahau kua chimbuko la ubaguzi wa kidini ni Zanzibar
 
A,-
Bado natafuta shangazi alipotaja CHADEMA, sijaona ila nahisi we happyxxx una chuki na CHADEMA, punguza nyege.
Hajawahi KU7 8⁸,2a,srFIKISHWA?,so,@zr@ez4⁵r5,azG@,56,2\○<,□<○☆,34, xX ⁷c3 3 sizes
 
Huyu mama anatia huruma saana. Ndio maana akiwatetea mashoga alisema eti mtu anaruhusiwa kuutumia mwili waka atakavyo. Kwake maadili au dini hazina nafasi. Halafu mtu unakuwa serious kusikiliza kiumbe kama Fatuma?
jinsi Fatma anazungumza English kwa ile accent and choice of vocabularies huwezi kumtofautisha na wenye lugha yao.hii ina maana Fatma kwa nje ni mbongo ila ndani ni mzungu kabisa na ikimaanisha mila zote za kizungu km ushoga, uhuru wa kutoa maoni binafsi, uchaguzi huru na wa haki, kutumia logic sio kuropokaropoka nk ni sehemu ya akili yake .

nina uhakika Fatma ukipewa moyo wake uangalie utashangaa sana kuona jinsi anawadharau watu wajinga na maskini because she has inside a mzungu culture and mindset

Fatma is smart and confused by living in the wrong world! Fatma anatamani sote bongo tuwe na akili na maisha kama wazungu kama yeye, anatamani tumuelewe ila we don't have that capacity coz watu wengi anaobishana nao darasa la saba au wenye digrii za kukariri !!
 
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.

Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.

Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.

View attachment 2246863
Hapo ndio Fatma anapikosea step.
 
Huyu bibi apumzike sasa kazi yakujibishana na vitoto vya mtandaoni kujidhalilisha tu!
 
jinsi Fatma anazungumza English kwa ile accent and choice of vocabularies huwezi kumtofautisha na wenye lugha yao.hii ina maana Fatma kwa nje ni mbongo ila ndani ni mzungu kabisa na ikimaanisha mila zote za kizungu km ushoga, uhuru wa kutoa maoni binafsi, uchaguzi huru na wa haki, kutumia logic sio kuropokaropoka nk ni sehemu ya akili yake .

nina uhakika Fatma ukipewa moyo wake uangalie utashangaa sana kuona jinsi anawadharau watu wajinga na maskini because she has inside a mzungu culture and mindset

Fatma is smart and confused by living in the wrong world! Fatma anatamani sote bongo tuwe na akili na maisha kama wazungu kama yeye, anatamani tumuelewe ila we don't have that capacity coz watu wengi anaobishana nao darasa la saba au wenye digrii za kukariri !!
Nadhani alienda kusoma UK akiwa bado mdogo. Hata English yake ni Posh English kwa mbali. Inaoneka UK alikulia kwenye mitaa ya matajiri na wasomi!!
 
Moja ya makosa makubwa Chadema wanafanya ni kuruhusu lila mtu kuwa Msemaji wa Chadema kwny Mitandao

Freeman Mbowe kishaliona hilo na kulikemea hadharani lakin hawasikii la muadhini wala la mnadi sala

inawezekana pia hii inafanywa na watu maalum kwa lengo maalum la kuibrabd Chadema kuwa chama cha wanaharakati wasio na muelekeo wala heshma ya uhuru kwa wengine
Pohamba, umeongea point kwenye hiyo paragraph ya mwisho! Kwa mfano kuna mtu anaitwa Kamanda Asiyechoka, ana nembo ya Chadema kwenye Avitar yake, lakini ni UVCCM.
Lakini pia, ni wazi kuna wanaopenda vyama, lakini wanakuwa kinyume navyo bila kujijua! Ni kama mashabiki wa mpira tu, unakuta mtu muda wote wa mchezo anaiponda timu yake, kuliko hata wapinzani wa hiyo timu!
 
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.

Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.

Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.

View attachment 2246863
Lazima kieleweke nchi iliojaa raia ambao unafki unatukana unafiki mwingine hahaha tz the royo tua nchi iliojaa watu wanaojua kusoma na kuandika tu do very sad
 
Back
Top Bottom