Pre GE2025 Fatma Karume awabwatukia CHADEMA kwa kumtelekeza Mbowe kwenye maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema wanaokosea sana ,chama kinaruhusu makada wao ambao uwezo wao kufikiri ni chini ya wastani kutokona na ukosefu wa Elimu dunia kuwa ndio wapaaza sauti wa chama .Embu fikiria upuuzi wa Mdude na Lema kwenye mitandao na chama wala hawakanushi?
WOTE AKILI ZAO ZIKO SAWA
 
Shangazi la Taifa na Mwanaharakati wa mitandaoni anaeunga mkono Wapinzani bibie Fatuma Karume amehoji Nguvu na ushawishi wa Chadema na Viongozi wake kufuatia Wananchi kuwapuuza kwenye maandamano waliyoitisha tarehe 23.

Fatuma amesema inashangaza kuona Kwa Sasa Chadema ni kama Haina bargaining power kiasi kwamba itakuwa vigumu kuishinikiza Serikali ya CCM kuweka Mabadiliko wanayoitaka Kwa sababu hawana watu.👇👇

View: https://x.com/Jambotv_/status/1838871661250007496?t=Ooe5KccFIut20M9DTJWAnw&s=19

My Take
Shangazi Fatuma na yule kahaba wa USA wanatakiwa kuelewa kwamba Watanzania sio nyumbu wa kutumika Kwa maslahi ya Wapinzani Vibaraka na Mabeberu.

Pili Fatuma aelewe kwamba hakuna awamu yeyote katika historia ya Tanzania ambayo Wananchi Mjini na Vijijini wamemwagiwa utitiri wa miradi kwenye sekta zote kama awamu ya 6 chini ya Rais Samia hivyo wameshiba hawana sababu ya kushiriki maandamano ya kipuuzi.

Mwisho Nawakumbisha Chadema walianzaga na kile waliita maandamano ya amani wakapuuzwa wakaona watumie njia za purukushani nazo wamepigwa za uso ,ndio kusema Chadema ni chama kilichofilisika hoja kimesalima na vioja na matukio ,kiki ya marehemu Kibao imebuma.😂😂😂

View: https://x.com/MzalendoDaily/status/1838593613485207911?t=KOzuBe8-VZIpyUTLZt8rxw&s=19
View attachment 3106266
View attachment 3106289View attachment 3106290

Mapicha ya nini wekeni Tume HURU YA UCHAGUZI tuamini kuwa huyo Mama kama anapendwa.
 
Acheni Wizi wa Kura na mauaji ya Raia.
Rais wangekuwa wanauwawa si wangeogopa kwenda kwenye mikutano ya Rais? 😂😂
20240925_140308.jpg
20240925_140303.jpg
20240925_135145.jpg
 
Na hapa ndio tunapokosea sana na Wananchi wengi ndio maana wanaona bora wakacheki zao Simba na Yanga:
  1. Je haya ni maandamano ya CHADEMA (yaani ya kisiasa)?
  2. AU ni Maandamano ya Wananchi dhini ya Kero / Matatizo yanayowasibu ?
Ukiangalia kwa jicho la uchambuzi sisi kama wananchi inabidi tujikite na tuunganike kwenye issues sababu kama shida zilezile zinawakumba TLP, CUF au CCM kwahio ukisema maandamano ni ya CHADEMA basi unapunguza / unadilute Issues at Hand...

Let's stop politizing the Issues...
 
Balozi wa nyumba 10.

Wewe umeshindwa kupambana baada ya kuishiwa 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DAVpbmsqmyl/?igsh=czV4Z3Rudmwxc2k5

Mimi simkatishi tamaa mtu yeyote kupambana, hata kama ni kwenye siasa.

Lakini inapofikia sehemu mnakejeli watu wanaotekwa na kuuawa, nawaona ni kama mashetani tu.

Mmekamata viongozi wote na watu wote mliowahisi kuandamana, halafu mnakuja kukejeli eti maandamano yamebuma!

Siasa zisifanye tupoteze utu wetu, sisi wote ni binadamu tu, na wote ni watanzania.
 
Siasa zisifanye tupoteze utu wetu, sisi wote ni binadamu tu, na wote ni watanzania.watanzania.
Watu wangeuwawa si wangeogopa mikutano ya Rais?
 
Mimi simkatishi tamaa mtu yeyote kupambana, hata kama ni kwenye siasa.

Lakini inapofikia sehemu mnakejeli watu wanaotekwa na kuuawa, nawaona ni kama mashetani tu.

Mmekamata viongozi wote na watu wote mliowahisi kuandamana, halafu mnakuja kukejeli eti maandamano yamebuma!

Siasa zisifanye tupoteze utu wetu, sisi wote ni binadamu tu, na wote ni watanzania.
Kwani haya ni maandamano ya ngapi kuitisha 😂 akuna hata mamoja yaliyofanikiwa, munamuona Mama Dhaifu sana kisa tu ni mstaarabu na ni mwanamke na kubwa zaidi kumeweka machuki yenu kisa ametokea Zanzibar, lakini mwaka huu tunakwenda na Mama hadi 2035. Mutaishia kutukana mitandaoni tu
 
Gharama iliyotumika kuziia maandamano hamuioni ilivyo kubwa?

Kweli aliyesema Mswahili nyama ya Tako hakukosea!!!
Kwa kiasi cha Nguvu na gharama zote hizo, iliyokuwa displayed na state, it is eneough to call it a kind of Victory to Commander Mbower et al , and had he been smart eneough to call off his move at the last hour, it could have been a Much Huge Victory for him . Not otherwise. Retreat is Not a Surrender
 
Kwani haya ni maandamano ya ngapi kuitisha 😂 akuna hata mamoja yaliyofanikiwa, munamuona Mama Dhaifu sana kisa tu ni mstaarabu na ni mwanamke na kubwa zaidi kumeweka machuki yenu kisa ametokea Zanzibar, lakini mwaka huu tunakwenda na Mama hadi 2035. Mutaishia kutukana mitandaoni tu
Mnakwenda na mama hadi 2035 tu?

Mama anaweza kutawala milele kama akitaka.

Mapolisi na majeshi yote yapo chini yake.
 
Shangazi la Taifa na Mwanaharakati wa mitandaoni anaeunga mkono Wapinzani bibie Fatuma Karume amehoji Nguvu na ushawishi wa Chadema na Viongozi wake kufuatia Wananchi kuwapuuza kwenye maandamano waliyoitisha tarehe 23.

Fatuma amesema inashangaza kuona Kwa Sasa Chadema ni kama Haina bargaining power kiasi kwamba itakuwa vigumu kuishinikiza Serikali ya CCM kuweka Mabadiliko wanayoitaka Kwa sababu hawana watu.👇👇

View: https://x.com/Jambotv_/status/1838871661250007496?t=Ooe5KccFIut20M9DTJWAnw&s=19

My Take
Shangazi Fatuma na yule kahaba wa USA wanatakiwa kuelewa kwamba Watanzania sio nyumbu wa kutumika Kwa maslahi ya Wapinzani Vibaraka na Mabeberu.

Pili Fatuma aelewe kwamba hakuna awamu yeyote katika historia ya Tanzania ambayo Wananchi Mjini na Vijijini wamemwagiwa utitiri wa miradi kwenye sekta zote kama awamu ya 6 chini ya Rais Samia hivyo wameshiba hawana sababu ya kushiriki maandamano ya kipuuzi.

Mwisho Nawakumbisha Chadema walianzaga na kile waliita maandamano ya amani wakapuuzwa wakaona watumie njia za purukushani nazo wamepigwa za uso ,ndio kusema Chadema ni chama kilichofilisika hoja kimesalima na vioja na matukio ,kiki ya marehemu Kibao imebuma.😂😂😂

View: https://x.com/MzalendoDaily/status/1838593613485207911?t=KOzuBe8-VZIpyUTLZt8rxw&s=19
View attachment 3106266
View attachment 3106289View attachment 3106290

Ni huzuni sana!!! Kwani da Fatu mwenyewe alikua wapi hakujitokeza😅😅😅. Au alikua anaandamana nyuma ya keyboard kama kawaida yake?
 
Kwa kiasi cha Nguvu na gharama zote hizo, iliyokuwa displayed na state, it is eneough to call it a kind of Victory to Commander Mbower et al , and had he been smart eneough to call off his move at the last hour, it could have been a Much Huge Victory for him . Not otherwise. Retreat is Not a Surrender

Mapicha ya nini wekeni Tume HURU YA UCHAGUZI tuamini kuwa huyo Mama kama anapendwa.
Hivi kweli kabisa unaona Mbowe anafaa kukuongoza. Nakuahidi akichoka kabisa kuwaongoza atatafuta ndugu/jamaa yake awe mwenyekiti wenu. Ruzuku tu zinamtoa roho unanafikiri akipata urais itakuaje?
 
Back
Top Bottom