Kwani Lema na Mbowe walikuwa wabunge kupitia tume ipi?Mapicha ya nini wekeni Tume HURU YA UCHAGUZI tuamini kuwa huyo Mama kama anapendwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Lema na Mbowe walikuwa wabunge kupitia tume ipi?Mapicha ya nini wekeni Tume HURU YA UCHAGUZI tuamini kuwa huyo Mama kama anapendwa.
Cc: ErythrocyteShangazi la Taifa na Mwanaharakati wa mitandaoni anaeunga mkono Wapinzani bibie Fatuma Karume amehoji Nguvu na ushawishi wa Chadema na Viongozi wake kufuatia Wananchi kuwapuuza kwenye maandamano waliyoitisha tarehe 23.
Fatuma amesema inashangaza kuona Kwa Sasa Chadema ni kama Haina bargaining power kiasi kwamba itakuwa vigumu kuishinikiza Serikali ya CCM kuweka Mabadiliko wanayoitaka Kwa sababu hawana watu.👇👇
"Maandamano yanahitaji watu, watu hawajajitokeza, swali; ni uwoga au CHADEMA haivutii?, kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini?, bila ya bargaining power CHADEMA wataweza kuishinikiza CCM (Chama cha Mapinduzi) walete mabadiliko ya mfumo?"
"Naona wana CHADEMA wengi wanasema CHADEMA inavutia, sawa nakubaliana na ninyi 37-45 za kura ni nyingi na ni mvutio mkubwa, swali linalofuata mbona hamlijibu?, bila ya people’s power bargaining chip ya CHADEMA kuleta mabadiliko ni nini?, je CHADEMA inaweza kuwatoa uwoga Watanzania?" -Fatma Karume
My Take
Shangazi Fatuma na yule kahaba wa USA wanatakiwa kuelewa kwamba Watanzania sio nyumbu wa kutumika Kwa maslahi ya Wapinzani Vibaraka na Mabeberu.
Pili Fatuma aelewe kwamba hakuna awamu yeyote katika historia ya Tanzania ambayo Wananchi Mjini na Vijijini wamemwagiwa utitiri wa miradi kwenye sekta zote kama awamu ya 6 chini ya Rais Samia hivyo wameshiba hawana sababu ya kushiriki maandamano ya kipuuzi.
Mwisho Nawakumbisha Chadema walianzaga na kile waliita maandamano ya amani wakapuuzwa wakaona watumie njia za purukushani nazo wamepigwa za uso ,ndio kusema Chadema ni chama kilichofilisika hoja kimesalima na vioja na matukio ,kiki ya marehemu Kibao imebuma.😂😂😂
Ili iweje?
Madagascar na UkraineWe uliona wapi nchi apewe Disco Joker!!!?
Wako wapi sasa?Madagascar na Ukraine