Pre GE2025 Fatma Karume awabwatukia CHADEMA kwa kumtelekeza Mbowe kwenye maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema wanaokosea sana ,chama kinaruhusu makada wao ambao uwezo wao kufikiri ni chini ya wastani kutokona na ukosefu wa Elimu dunia kuwa ndio wapaaza sauti wa chama .Embu fikiria upuuzi wa Mdude na Lema kwenye mitandao na chama wala hawakanushi?
WOTE AKILI ZAO ZIKO SAWA
 
Mapicha ya nini wekeni Tume HURU YA UCHAGUZI tuamini kuwa huyo Mama kama anapendwa.
 
Na hapa ndio tunapokosea sana na Wananchi wengi ndio maana wanaona bora wakacheki zao Simba na Yanga:
  1. Je haya ni maandamano ya CHADEMA (yaani ya kisiasa)?
  2. AU ni Maandamano ya Wananchi dhini ya Kero / Matatizo yanayowasibu ?
Ukiangalia kwa jicho la uchambuzi sisi kama wananchi inabidi tujikite na tuunganike kwenye issues sababu kama shida zilezile zinawakumba TLP, CUF au CCM kwahio ukisema maandamano ni ya CHADEMA basi unapunguza / unadilute Issues at Hand...

Let's stop politizing the Issues...
 
Shangazi karume anazeeka vibaya...Sumu haijaribiwi kwa kuionja.
 
Balozi wa nyumba 10.

Wewe umeshindwa kupambana baada ya kuishiwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DAVpbmsqmyl/?igsh=czV4Z3Rudmwxc2k5
Mimi simkatishi tamaa mtu yeyote kupambana, hata kama ni kwenye siasa.

Lakini inapofikia sehemu mnakejeli watu wanaotekwa na kuuawa, nawaona ni kama mashetani tu.

Mmekamata viongozi wote na watu wote mliowahisi kuandamana, halafu mnakuja kukejeli eti maandamano yamebuma!

Siasa zisifanye tupoteze utu wetu, sisi wote ni binadamu tu, na wote ni watanzania.
 
Watu wangeuwawa si wangeogopa mikutano ya Rais?
 
Kwani haya ni maandamano ya ngapi kuitisha πŸ˜‚ akuna hata mamoja yaliyofanikiwa, munamuona Mama Dhaifu sana kisa tu ni mstaarabu na ni mwanamke na kubwa zaidi kumeweka machuki yenu kisa ametokea Zanzibar, lakini mwaka huu tunakwenda na Mama hadi 2035. Mutaishia kutukana mitandaoni tu
 
Gharama iliyotumika kuziia maandamano hamuioni ilivyo kubwa?

Kweli aliyesema Mswahili nyama ya Tako hakukosea!!!
Kwa kiasi cha Nguvu na gharama zote hizo, iliyokuwa displayed na state, it is eneough to call it a kind of Victory to Commander Mbower et al , and had he been smart eneough to call off his move at the last hour, it could have been a Much Huge Victory for him . Not otherwise. Retreat is Not a Surrender
 
Mnakwenda na mama hadi 2035 tu?

Mama anaweza kutawala milele kama akitaka.

Mapolisi na majeshi yote yapo chini yake.
 
Ni huzuni sana!!! Kwani da Fatu mwenyewe alikua wapi hakujitokezaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…. Au alikua anaandamana nyuma ya keyboard kama kawaida yake?
 

Mapicha ya nini wekeni Tume HURU YA UCHAGUZI tuamini kuwa huyo Mama kama anapendwa.
Hivi kweli kabisa unaona Mbowe anafaa kukuongoza. Nakuahidi akichoka kabisa kuwaongoza atatafuta ndugu/jamaa yake awe mwenyekiti wenu. Ruzuku tu zinamtoa roho unanafikiri akipata urais itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…