Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kazi ambayo tulikutuma uifanye kwa asilimia kubwa umeifanikisha. Ni wakati wa kurudi home kabla hujachafuliwa na hao wenye wazimu na chuki.
Tunajua kuna wakati unatamani waendelee kuamini kuwa una fanya harakati nao lakini dhamira ya moyoni inakushinda. Unajikuta unaandika au kuzungumza kilichojaa moyo wako.
Magufuli hayupo kwa sasa hamna haja tena ya kupambana nasi. Kwa sasa tuna Rais Mwanamke mwenye asili ya Zanzibar. Tunataka nini tena hapo?
Rudi dada nyumbani kumenoga. Kazi inaendelea wanasiasa wa upinzani wabaki na upinzani wao. Njoo CCM au karibu ACT hawa ndiyo wapinzani wa kweli chini ya Zitto Kabwe. Sisi CCM tunawakubali hawa na siasa zao.
NI suala la muda na muda umeshafika sasa