Fatma Karume: Kelele, ubabe na mabavu siyo ushahidi kwamba Dkt. Tulia Ackson ni jasiri

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Alizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri

Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni Sawa na Panya kutamba mbele ya Paka huku akijua Kabisa baadae ataliwa. Ni huko Ukurasani X. Mlale Unono 😀

Fatma.PNG

Soma: The famous Tulia Ackson's meltdown at the IPU meeting, was it legit and justifiable?
 
Kuna wakati ukipinga kila kitu unaweza kujikuta unapinga hata jina lako.., Tulia kaongea kibabe vyema inavyotakiwa. Kwa anayewaelewa wazungu vyema atanielewa. Tatizo Fatma Karume na Maria Sarungi ni wazungu pori(Half Cast nusu), hawajui vizuri figisu za wazungu. Wanazidiwa na Dr. Tulia aliyewajua vizuri wazungu kupitia vitabu tu..
 
Alizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri

Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni Sawa na Panya kutamba mbele ya Paka huku akijua Kabisa baadae ataliwa

Ni huko Ukurasani X

Mlale Unono 😀
Sahihi Bwashe
 
Karume mzungu pori wa wapi?🙄🙄🙄 Sawa Maria mjaluo na Hungary.. Ungekua na hoja tu vizuri kuliko hiyo pumba uliyoweka
 
Kuna wakati ukipinga kila kitu unaweza kujikuta unapinga hata jina lako.., Tulia kaongea kibabe vyema inavyotakiwa. Kwa anayewaelewa wazungu vyema atanielewa. Tatizo Fatma Karume na Maria Sarungi ni wazungu pori(Half Cast nusu), hawajui vizuri figisu za wazungu. Wanazidiwa na Dr. Tulia aliyewajua vizuri wazungu kupitia vitabu tu..
Hapana wewe na Tulia mna inferior IQ, Fatuma na Maria wana very advanced IQ. Huwezi kuwaelewa.
 
Alizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri

Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni Sawa na Panya kutamba mbele ya Paka huku akijua Kabisa baadae ataliwa

Ni huko Ukurasani X

Mlale Unono 😀
wale vilaza mlokua mnatoa minjino nje.mko wapii
 
Alizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri

Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni Sawa na Panya kutamba mbele ya Paka huku akijua Kabisa baadae ataliwa

Ni huko Ukurasani X

Mlale Unono 😀
Hii inaeleweka ,wanawake hawapendani wao kwa wao.
 
Alizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri

Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni Sawa na Panya kutamba mbele ya Paka huku akijua Kabisa baadae ataliwa

Ni huko Ukurasani X

Mlale Unono 😀
Huu ni ukweli mtupu
 
Kwa upumbavu alioufanya huko ubeberuni,hakustahili kabisa kuwa kwenye nafasi ya usipika.Mtu mwenye hekima hujibu hoja Kwa hoja na siyo kufoka.kufoka ni njia ya mpumbavu kukwepa kujibu hoja.Ndiyo maana alikataa kujadili hoja ya utekaji Kwa kujifanya utekaji haupo wakati umetamalaki Kila sehemu ya Nchi hii.IPU waitishe kikao Cha kutokuwa na Imani Naye ilibapatikane mwenye uwezo.
 
tatzo fikra za utumwa inatusumbua ss goz nyeusi kwa kuwafokea kuna tatzo gan
 
Kwa upumbavu alioufanya huko ubeberuni,hakustahili kabisa kuwa kwenye nafasi ya usipika.Mtu mwenye hekima hujibu hoja Kwa hoja na siyo kufoka.kufoka ni njia ya mpumbavu kukwepa kujibu hoja.Ndiyo maana alikataa kujadili hoja ya utekaji Kwa kujifanya utekaji haupo wakati umetamalaki Kila sehemu ya Nchi hii.IPU waitishe kikao Cha kutokuwa na Imani Naye ilibapatikane mwenye uwezo.
Acha ujinga, kwani hao wazungu wa America wanajikuta wao kina nani wasiambiwe ukweli?

Unadhani Tulia bila cheyo cha IPU maisha hawezi?

Kawachana vema sana, sasa wewe na huyo mzungu pori fatuma wako, endeleeni kuwaabudu hao wazungu wenzenu
 
Uyu Mama vile baba yake alimuingiza tiss ndio anajiona anajua kila kitu kuliko wengine..

Laana ya kumtukana Magufuli itamuandama daima..

Yaani uwa haelewi nini anataka!!

Hii itakuwa dua la kuku probably! Ana kila haki ya kutoa maoni yake including kusema lolote kuhusu yeyote hata magu
 
Back
Top Bottom