Fatma Karume: Kelele, ubabe na mabavu siyo ushahidi kwamba Dkt. Tulia Ackson ni jasiri

Fatma Karume: Kelele, ubabe na mabavu siyo ushahidi kwamba Dkt. Tulia Ackson ni jasiri

Wewe ni hisia żako tu. Fatma anakosa nini? Hivi kumsikliza Fatma au Tulia nani ana bore? Weka merit mezani Fatma Vs Tulia nani atakuwa kidedea? Obviously Fatma.

Merit, siyo kubebana
Ukiwaweka mezani hao ni watu wawili tofauti kabisa.

Kinachombeba Fatuma ni jina Lake la mwisho tu ila kichwani hakuna kitu.
 
Hao wote mifumo mibovu ndo imewafikisha hapo juu Ila hawana ufanisi wowote.

Humbleness is key

Wanachojua ni kupandisha temper ili waonekana wana hoja Ila kiufupi hawana hoja zozote za msingi .
 
Uyu Mama vile baba yake alimuingiza tiss ndio anajiona anajua kila kitu kuliko wengine..

Laana ya kumtukana Magufuli itamuandama daima..

Yaani uwa haelewi nini anataka!!
Hiyo laana onaweza kuwa ni zaidi waliyo nayo chukua chako mapema.
 
Ali test mapapai na mbuzi akakuta Yana corona!

Unafikiri ubongo wake ulikua una operate sayari ipi!!?
wazazi wako ubongo wao una operate sayari ipi? maana jinsi ulivyo mjinga sijui wazazi wako wakoje
 
Alizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri

Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni Sawa na Panya kutamba mbele ya Paka huku akijua Kabisa baadae ataliwa. Ni huko Ukurasani X. Mlale Unono 😀

Soma: The famous Tulia Ackson's meltdown at the IPU meeting, was it legit and justifiable?
Tuna jambo la kujifunza kama nchi, inabidi kile chuo cha siasa kilichojengwa kibaha kwa mfipa
kifanye kazi sana. Tumewaharibu viongozi wetu kwa kuwazoesha kujibu hoja kwa ubabe
bila kujali kwamba wanaojibiwa wameridhika au la,kwamba asiyeridhika atanyooshwa na vyombo vya dola.

Jambo hili linatutia aibu kwenye medani za kimataifa,
Hoja ijibiwe kwa hoja na kamwe si ukali,na kuonyesha ubabe,

Nawapongeza wamama watanzania kwa kushika nafasi kubwa duniani
Mifano michache hii hapa chini:
Mama Mongera,Dr,Asha Rose Migiro, prof. Anna Tibaijuka.
Mh.spika namshauri awatafute wamfunde ili naye atuwakilishe vyema kama wao walivyofanya.
Sikuwahi kuona clip yoyote ikimuonyesha yeyote kati yao akifoka kwenye vikao vya kimataifa.
 
Waliuliza maswali ya kipumbavu na kashfa, naye akawajibu kibabe hivyohivyo...sio kila wakati utaweka ustaarabu mbele, maswali waliyouliza walijua majibu yake - itakuwa walifikiri akili yake ni ndogo sana asiwaelewe..dawa na moto ni moto.
True
 
Angekuwa ni mtoto wa kiongozi mwandamizi asingemkosoa hivi....
 
I am no fan of Tulia.

Ila napata hisia za Fatuma za wivu juu ya Tulia.

Hapo anataka ni yeye ndie angekuwa hapo.
Huna hoja. Unasema Fatma alitaka awe kwenye nafasi ya Tulia, kwani alifanya nini kuthibitisha alikuwa anaitafuta hiyo nafasi? Ndugu yangu, umekosa hoja kabisa.
 
Alizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri

Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni Sawa na Panya kutamba mbele ya Paka huku akijua Kabisa baadae ataliwa. Ni huko Ukurasani X. Mlale Unono 😀

Soma: The famous Tulia Ackson's meltdown at the IPU meeting, was it legit and justifiable?
Wale wa mapambio hawawezi kumuelewa Fatuma. Shangazi yupo sahihi.
 
Uyu Mama vile baba yake alimuingiza tiss ndio anajiona anajua kila kitu kuliko wengine..

Laana ya kumtukana Magufuli itamuandama daima..

Yaani uwa haelewi nini anataka!!

Wivu tu wa kike
Kasema ukweli lakini
 
Kuna wakati ukipinga kila kitu unaweza kujikuta unapinga hata jina lako.., Tulia kaongea kibabe vyema inavyotakiwa. Kwa anayewaelewa wazungu vyema atanielewa. Tatizo Fatma Karume na Maria Sarungi ni wazungu pori(Half Cast nusu), hawajui vizuri figisu za wazungu. Wanazidiwa na Dr. Tulia aliyewajua vizuri wazungu kupitia vitabu tu..
Hakuna kitu pale
 
Kweli kabisa. Wewe na Tulia mnajua sana wazungu ndiyo maana mmeweza kuifanya Tanzania iwe nchi ya mfano wa kuigwa.
 
Hapana wewe na Tulia mna inferior IQ, Fatuma na Maria wana very advanced IQ. Huwezi kuwaelewa.

Kwa kweli mara nyingi Tulia anasimama kama Tulia sio taasisi .
Ni mwanamke mbabe na mwenye jazba sana . Hafi kuwa kiongozi popote.
Ni dikteta hata hapo kwetu ameua nguvu ya bunge kwa sababu ya ubabe wake na hasira zake binafsi.

Hilo ni tatizo sana la wanasheria nguli kama Tulia lakini sio mawakili waliozoea likikimiki mahakamani.

Ajifunze kwa Tundu Lisu aliyepigwa risasi 17 lakini bado hua anajibu hoja kwa furaha na kwa ujasiri huku akiwapiga za uso wapinzani wake bila Hasira na kujiona mtu duni .

Huyu ndiye yule Tulia aliyesema mtu akimsema vibaya ananyooka naye .

Wanaomsifu kwa udikteta wake ni wapumbavu na watekaji tu lakini hana uzalendo ndio maana amehalalisha sheria za hivyo bungeni na sasa rasilimali zote za nchi zinaibiwa na wageni huku watanzania wakiandaliwa kuwa watumwa wasio na kwao .

Wazungu walimpigia makofi ili kumaliza mjadala wa kijinga waendelee na mambo mengine .

Tulia alikua na uwezo wa kujibu swali aliloulizwa bila kuweka maneno ya kibabe na vijembe. Yeye ni spika anapaswa kubalance Bunge. Kama ameulizwa swali na mtu mwenye jaziba hakupaswa kulijibu kwa jazba kwa sababu dunia imegawanyika pande mbili Magharibi na mashariki na kila mmoja anaona yupo sahihi .
Mambo sijui ukoloni ,sijui jinsia ,sijui nchi maskini sijui nini hakutakiwa ayaingize kwenye majibu yake . Alitakiwa aonyeshe kifungu au kanuni iliyompa mamlaka ya kwenda kuonana na Putin lakini sio kujibu kama vile yuko kwenye Bunge la CCM kwa walamba miguu wa waarabu.

Wale ni watu kutoka kwenye nchi huru zenye uhuru na usawa . Kwa wenzetu mtu yameyote ana haki ya kuuliza chochote na hata kumzomea kiongozi sio huku akikozoea kuteka na kunyooka na wetu . Amelidhalilisha sana Taifa na kuonyesha udikteta na mfumo wa kiimla aliourithi kwenye serikali yake siyoheshimu katiba na sheria zaidi ya kutumia Maguvu na marungu kupinga mawazo ya wengine .
 
Back
Top Bottom