Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Huyu Fatma ni great brain. Hakika alichokisema ndiyo uhalisia. Wasioliona hilo lazima kichwani kumeyumba.Uyu Mama vile baba yake alimuingiza tiss ndio anajiona anajua kila kitu kuliko wengine..
Laana ya kumtukana Magufuli itamuandama daima..
Yaani uwa haelewi nini anataka!!
Tulia alikosa hekima kabisa katika kujibu alichoulizwa. Kipindi chake kikiisha atatupiliwa mbali na hataweza kuigusa nafasi yoyote ya kimataifa labda iwe ya kuteuliwa na Tanzania. Alijisahau, akadhani anaongoza lile bunge lake uchwara, la akina kibajaji na musukuma.