Fatma Karume: Kelele, ubabe na mabavu siyo ushahidi kwamba Dkt. Tulia Ackson ni jasiri

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna wakati ukipinga kila kitu unaweza kujikuta unapinga hata jina lako.., Tulia kaongea kibabe vyema inavyotakiwa. Kwa anayewaelewa wazungu vyema atanielewa. Tatizo Fatma Karume na Maria Sarungi ni wazungu pori(Half Cast nusu), hawajui vizuri figisu za wazungu. Wanazidiwa na Dr. Tulia aliyewajua vizuri wazungu kupitia vitabu tu..
 
Sahihi Bwashe
 
Karume mzungu pori wa wapi?πŸ™„πŸ™„πŸ™„ Sawa Maria mjaluo na Hungary.. Ungekua na hoja tu vizuri kuliko hiyo pumba uliyoweka
 
Hapana wewe na Tulia mna inferior IQ, Fatuma na Maria wana very advanced IQ. Huwezi kuwaelewa.
 
wale vilaza mlokua mnatoa minjino nje.mko wapii
 
Hii inaeleweka ,wanawake hawapendani wao kwa wao.
 
Huu ni ukweli mtupu
 
Kwa upumbavu alioufanya huko ubeberuni,hakustahili kabisa kuwa kwenye nafasi ya usipika.Mtu mwenye hekima hujibu hoja Kwa hoja na siyo kufoka.kufoka ni njia ya mpumbavu kukwepa kujibu hoja.Ndiyo maana alikataa kujadili hoja ya utekaji Kwa kujifanya utekaji haupo wakati umetamalaki Kila sehemu ya Nchi hii.IPU waitishe kikao Cha kutokuwa na Imani Naye ilibapatikane mwenye uwezo.
 
tatzo fikra za utumwa inatusumbua ss goz nyeusi kwa kuwafokea kuna tatzo gan
 
Acha ujinga, kwani hao wazungu wa America wanajikuta wao kina nani wasiambiwe ukweli?

Unadhani Tulia bila cheyo cha IPU maisha hawezi?

Kawachana vema sana, sasa wewe na huyo mzungu pori fatuma wako, endeleeni kuwaabudu hao wazungu wenzenu
 
Uyu Mama vile baba yake alimuingiza tiss ndio anajiona anajua kila kitu kuliko wengine..

Laana ya kumtukana Magufuli itamuandama daima..

Yaani uwa haelewi nini anataka!!

Hii itakuwa dua la kuku probably! Ana kila haki ya kutoa maoni yake including kusema lolote kuhusu yeyote hata magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…