Huyu Fatma ni great brain. Hakika alichokisema ndiyo uhalisia. Wasioliona hilo lazima kichwani kumeyumba.Uyu Mama vile baba yake alimuingiza tiss ndio anajiona anajua kila kitu kuliko wengine..
Laana ya kumtukana Magufuli itamuandama daima..
Yaani uwa haelewi nini anataka!!
Nimependa mfano wa panya. Tunasubiria hapa paka afanye yake.Alizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri
Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni Sawa na Panya kutamba mbele ya Paka huku akijua Kabisa baadae ataliwa
Ni huko Ukurasani X
Mlale Unono π
Kuna kaujinga fulani kanawaandama wateule wa.mama.eti wanaweza bila hao majamaa wakati wao wenyewe hawawezi!
Aloewaweza mabeberu ni jpm tu,coz alikua IQ kubwa sana halafu alikua natural reader!
π―Alizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri
Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni Sawa na Panya kutamba mbele ya Paka huku akijua Kabisa baadae ataliwa
Ni huko Ukurasani X
Mlale Unono π
Dawa ya π₯ ni π₯Waliuliza maswali ya kipumbavu na kashfa, naye akawajibu kibabe hivyohivyo...sio kila wakati utaweka ustaarabu mbele, maswali waliyouliza walijua majibu yake - itakuwa walifikiri akili yake ni ndogo sana asiwaelewe..dawa na moto ni moto.
Wivu tu kwa mwanamke mwenzake. Yeye hata hayo makelele mbona hajawahi kuyafanya.? Mwanasheria wa mitandaoni tu hana cha maana.Alizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri
Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni Sawa na Panya kutamba mbele ya Paka huku akijua Kabisa baadae ataliwa
Ni huko Ukurasani X
Mlale Unono π
Heheheh nimependa sana nikweli na amesha haribu picha keep cool mtasikiaAlizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri
Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni Sawa na Panya kutamba mbele ya Paka huku akijua Kabisa baadae ataliwa
Ni huko Ukurasani X
Mlale Unono π
Tulia ni msomi ambaye hajaelimika na anayetegemea uchawa ili aendelee kula . Hata tofauti na wale machawa wengine ambao hawajawahi kanyaga darasani. Ni tofauti sana na Prof. Ndalichako.Kuna wakati ukipinga kila kitu unaweza kujikuta unapinga hata jina lako.., Tulia kaongea kibabe vyema inavyotakiwa. Kwa anayewaelewa wazungu vyema atanielewa. Tatizo Fatma Karume na Maria Sarungi ni wazungu pori(Half Cast nusu), hawajui vizuri figisu za wazungu. Wanazidiwa na Dr. Tulia aliyewajua vizuri wazungu kupitia vitabu tu..
Sio sawa amewafokea wabunge jambo sio sawa kwa maadili yake. Mbaya kuliko yote usifikiri wazungu hawajuwi habari zake nakile anakifanya ndio maana aka panic tulia muone aibu hiiKuna wakati ukipinga kila kitu unaweza kujikuta unapinga hata jina lako.., Tulia kaongea kibabe vyema inavyotakiwa. Kwa anayewaelewa wazungu vyema atanielewa. Tatizo Fatma Karume na Maria Sarungi ni wazungu pori(Half Cast nusu), hawajui vizuri figisu za wazungu. Wanazidiwa na Dr. Tulia aliyewajua vizuri wazungu kupitia vitabu tu..
Nyie mbona mnamuabudu chura kiziwi ambaye hana hata darasa Moja na hajui hata anchokifanya zaidi ya utekaji na kuua!?Acha ujinga, kwani hao wazungu wa America wanajikuta wao kina nani wasiambiwe ukweli?
Unadhani Tulia bila cheyo cha IPU maisha hawezi?
Kawachana vema sana, sasa wewe na huyo mzungu pori fatuma wako, endeleeni kuwaabudu hao wazungu wenzenu
Hakuna atakayelaaniwa kwa kumtukana Magufuli!!! Sanasana atabarikiwa tu. Lile DUBWASHA dhulumati na liuaji halina utukufu wowote wa kutoa laanaUyu Mama vile baba yake alimuingiza tiss ndio anajiona anajua kila kitu kuliko wengine..
Laana ya kumtukana Magufuli itamuandama daima..
Yaani uwa haelewi nini anataka!!
MEMKWA πΌπ€£Hakuna atakayelaaniwa kwa kumtukana Magufuli!!! Sanasana atabarikiwa tu. Lile DUBWASHA dhulumati na liuaji halina utukufu wowote wa kutoa laana
Mbona wabunge na wazungu hapohapo wamempigia makofi kwa wingi!?,au nyie ndo mnajua kutathmini alichosema kuliko alikuwa nao ukumbini waliompigia makofi!?Sio sawa amewafokea wabunge jambo sio sawa kwa maadili yake. Mbaya kuliko yote usifikiri wazungu hawajuwi habari zake nakile anakifanya ndio maana aka panic tulia muone aibu hii
Utakufa kwa kumuwaza Magufuli!! Mlikufuru mkaanza kumuita eti Mheshimiwa mungu!! Ile takataka ndiyo ilikuwa inadai itakuwa kiranja wa malaika!! Nanyi misukule yake mukaaminiMEMKWA πΌπ€£
Nakubaliana na Fatma kwa kua simpendi Tulia. Sio kwa sababu sawa na za Fatma. Namuona sio mzalendo na ni mnafiki, msaliti na mbinafsi kwa jinsi alivyoshiriki lile tukio la kuwapa bandari zetu zote dubai wamiliki kama mali yao. Sitokaa nimsamehe kwa tukio hilo.Alizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri
Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni Sawa na Panya kutamba mbele ya Paka huku akijua Kabisa baadae ataliwa. Ni huko Ukurasani X. Mlale Unono π
Soma: The famous Tulia Ackson's meltdown at the IPU meeting, was it legit and justifiable?
mkuu. Mi na huyo uliyemtaja wapi na wapiNyie mbona mnamuabudu chura kiziwi ambaye hana hata darasa Moja na hajui hata anchokifanya zaidi ya utekaji na kuua!?
Wewe ni hisia ΕΌako tu. Fatma anakosa nini? Hivi kumsikliza Fatma au Tulia nani ana bore? Weka merit mezani Fatma Vs Tulia nani atakuwa kidedea? Obviously Fatma.I am no fan of Tulia.
Ila napata hisia za Fatuma za wivu juu ya Tulia.
Hapo anataka ni yeye ndie angekuwa hapo.
Mi mkulima wa tunduru ukuNa wewe TISS uliingiaje? Maana kule ile ofisi ya kubadilishana viti π π π π