Fatma Karume: Mkishamuua Dkt. Nshala ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?

Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?

Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!

Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica njema!

Pia soma
 
Fatma Karume anatakiwa kumuuliza dada yake hayo maswali, sijui kwanini ametumia wingi kwenye kuuliza maswali yake..

Ajue dada yake amekosa majibu ya wengi yanayoulizwa kuhusu ule mkataba, ndio maana ameamua mambo yajiendee tu, kwake kupata msaada wowote sasa ni wa thamani.
 
Vyovyote vile utakavyochukulia Lugha!

Bandari Salama au Dar-Es-Salaam....chaguo ni lako

Amani na Usalama uwe ndio kipaumbele wa kujadiliana na DPW.

Mkataba unatishia Usalama wetu, na amani yetu.

Mpaka kieleweke.
 
Wakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?

Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?

Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!

Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica njema!
Huyo na Lisu hawana adabu washughulikiwe
 
Wakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?

Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?

Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!

Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica njema!
Ngoma nzito sana hii, mda ni mwalim mzuri sana
 
Wakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?

Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?

Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!

Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica njema!

Huyu DR. NSHALA ni nani tena? Kasema nini hata watake kumwondoa? Lile la katiba mpya liliondoka na DR. Mvungi
 
Mwambieni aache Kiki ana kipi cha maana mpaka auliwe? Pigeni kelele zote DP world lazima waje kuchapa kazi hatuwezi kukubali bandari iendelee kudumaa kisa kelele za waoga wa mabadiliko.
 
Wakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?

Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?

Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!

Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica njema!
Badala ya kuomba radhi kwa lililotokea, na hatimaye kuondoa vipengele vyenye kulalamikiwa na kuhojiwa kuhusu ukakasi wake, lakini serikali inageukia njia ya mbaya ya kutoa vitisho kwa wakosoaji. Serikali yetu inaonekana imetoa baraka zote kwa mkataba huu jinsi ambavyo ulivyo.

Hii ni kudhihirisha kuwa serikali inakubaliana na kuyaridhia kwa moyo wa dhati masharti yote ya mkataba kama vile yalivyo bila haja ya kutaka kuyafanyia marekebisho yoyote yale. Yeyote yule ambaye hakubaliani na baadhi ya vipenge anaonekana ni mhaini.

Si ajabu tukaanza kushuhudia maiti nyingi zikiokotwa, kutekwa kwa watu, ama hata kupotea kwa baadhi ya wakosoasji wa mkataba huu.
 
Back
Top Bottom