Fatma Karume: Mkishamuua Dkt. Nshala ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri?

Fatma Karume: Mkishamuua Dkt. Nshala ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri?

Pale opposite na Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀

Ile ilifanywa na Vijana wa Ufipa kumtisha Masha aliyekuwa na Mkataba wa Laigwanan Edward kuinunua Chadema 😂😂😂

..Masha alikuwa kaishaachana na kampuni ya uwakili ya kina Fatuma.

..madogo wa Ufipa hawawezi kulipua bomu popote, sembuse jirani na makao makuu ya jeshi.

..Yale yalikuwa maelekezo kutoka juu.
 
Wakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?

Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?

Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!

Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica njema!

Pia soma
CCM ni genge la wahuni
 
Bila CCM kupisha tutachelewa sana. Chama kimekuwa dubwsana hata wanachama wenyewe wanaliogopa!!

Conflict of interest: Mimi ni mwanachama yangu 1978
Nakuunga mkono ccm watupishe, Kuna chama kinaitwa Tundu Lisu kiwe mbadala kwenye karne hii ya kidigtal.
 
Back
Top Bottom