Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Kwani ukitukana ndio inafanya wawe na adabu? Wana Kauli chafu kiburi na kujikuta Wana akili weeee kumbe mizoga tuu.
Naona umefanya kazi hii kwa bidii sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ukitukana ndio inafanya wawe na adabu? Wana Kauli chafu kiburi na kujikuta Wana akili weeee kumbe mizoga tuu.
Imeandikwa wapi? nani aliyenzisha mfumo wa Ujamaa? Bandari ikawe public enterprises kati ya kampuni ipi? acha kukariri ujinga. Tunahitaji hizi ndoto unazoota ziwe kwenye maandushi.Ndio maana tunawaambie nyie ni waoga wa maendeleo, mmekariri maujamaa yenu eti Nani anamteua mtendaji? Hii inaenda kuwa public enterprises yaani kutakuwa kuna board of directors ambayo haiwezi kuingiliwa na wanasiasa, bodi itachapa kazi Kwa ufanisi zaidi kupandisha namba ya mapato Kwa uhuru bila kuyumbishwa na wanasiasa.
Kijana anapambana sana tumpe maua yake bila shaka hana kazi nyingine zaidi ya hiiNaona umefanya kazi hii kwa bidii sana.
View attachment 2682810
Wakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?
Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?
Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!
Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter
Nawatakia Dominica njema!
Utapanuka moyo bure kaka. CCM ni habari nyingine mkuuNdio
Hiyo ofisi ya Fatma Karume ilikuwa wapi?..Jpm alituma watu kulipua ofisi ya Fatuma Karume.
..Jpm akatuma watu wamuue Tundu Lissu.
..baadae Jpm akawasamehe barrick deni la usd 191 billion.
..tena akaruhusu makinikia kwenda nje badala ya kuchenjuliwa hapa Tanzania.
..Jpm akaruhusu migogoro na Barrick kutatuliwa na mahakama za nje.
Nimechekaa utadhani sihitaji panadol!Nakumbuka kipindi nafanya promosheni ya dawa ya Rungu miaka ile. Kuna mtu aliniuliza kama ina uwezo wa kuua CCM. Sikumwelewa alikuwa ana maana gani
Hiyo ofisi ya Fatma Karume ilikuwa wapi?
Au pale Ufipa mlipombomolea Masha😂😂?
Shala Hana adabu,hata Kama anamdharau Samia lakini aheshimu taasisi ya urais,huwezi sema rais badala ya kuchutama yeye anachanua,halafu uachwe tu unazungusha korodani mjini...wamshughulikie,ili yeye na wengine waso adabu wajue kuwa rais ni amir jeshi mkuuFatma Karume anatakiwa kumuuliza dada yake hayo maswali, sijui kwanini ametumia wingi kwenye kuuliza maswali yake..
Ajue dada yake amekosa majibu ya wengi yanayoulizwa kuhusu ule mkataba, ndio maana ameamua mambo yajiendee tu, kwake kupata msaada wowote sasa ni wa thamani.
Pale opposite na Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀..ilikuwa maeneo ya Upanga, barabara ya Umoja wa Mataifa.
..Tena karibu na makao makuu ya jeshi ngome-Upanga.
..mtu hawezi kulipua bomu eneo lile akatoka salama.
..ndio maana nasema ilikuwa ni " maelekezo au amri kutoka juu. "
Bila CCM kupisha tutachelewa sana. Chama kimekuwa dubwsana hata wanachama wenyewe wanaliogopa!!ndio unavojidanganya
SIDHANI KMA AMEWEKA NENO SHUJAA
Sasa nani katangaza kuwa anataka kumuua huho mkosa adabu anayetutukania mama zentu Nshalla? Yeye amajishtukia kutokana na utovu wake wa adabu basi.Wakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?
Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?
Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!
Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter
Nawatakia Dominica njema!
shetani weweShala Hana adabu,hata Kama anamdharau Samia lakini aheshimu taasisi ya urais,huwezi sema rais badala ya kuchutama yeye anachanua,halafu uachwe tu unazungusha korodani mjini...wamshughulikie,ili yeye na wengine waso adabu wajue kuwa rais ni amir jeshi mkuu
Kuua wakosoaji hakujawahi kuwa suluhisho la kudumu kwa matatizo yanayoikabili Serikali youote ile duniani, Bali ni kuahirisha kwa muda matatizo ili kusudi yakuwe na kuwa makubwa zaidi.Wakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?
Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?
Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!
Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter
Nawatakia Dominica njema!