johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ndio unavojidanganyaToa CCM madarakani, nchi iendelee
ndio unavojidanganya
SIDHANI KMA AMEWEKA NENO SHUJAAYuko wapi Shujaa Magufuli?!
Huyo na Lisu hawana adabu washughulikiweWakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?
Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?
Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!
Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter
Nawatakia Dominica njema!
Ngoma nzito sana hii, mda ni mwalim mzuri sanaWakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?
Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?
Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!
Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter
Nawatakia Dominica njema!
PumbavuHuyo na Lisu hawana adabu washughulikiwe
Huyu atakuwa amejipindua baada ya babake mdogo (sijui mkubwa) Ali Karume kuliwa kichwa. Mwanzo alikuwa mtetezi mkubwa wa DP WorldFatma Karume anatakiwa kumuuliza dada yake hayo maswali, sijui kwanini ametumia wingi kwenye kuuliza maswali yake..
Wakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?
Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?
Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!
Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter
Nawatakia Dominica njema!
Kwani ukitukana ndio inafanya wawe na adabu? Wana Kauli chafu kiburi na kujikuta Wana akili weeee kumbe mizoga tuu.Pumbavu
Shindwa Pepopunda!!Huyo na Lisu hawana adabu washughulikiwe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hujiulizi Kwa nini hao tuu?Shindwa Pepopunda!!
Badala ya kuomba radhi kwa lililotokea, na hatimaye kuondoa vipengele vyenye kulalamikiwa na kuhojiwa kuhusu ukakasi wake, lakini serikali inageukia njia ya mbaya ya kutoa vitisho kwa wakosoaji. Serikali yetu inaonekana imetoa baraka zote kwa mkataba huu jinsi ambavyo ulivyo.Wakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?
Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?
Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!
Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter
Nawatakia Dominica njema!