Fatma Karume: Mkishamuua Dkt. Nshala ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri?

Huyu atakuwa amejipindua baada ya babake mdogo (sijui mkubwa) Ali Karume kuliwa kichwa. Mwanzo alikuwa mtetezi mkubwa wa DP World
Kumbe tatizo hasira za kaka ndio zimemrudishia akili, ndio maana nikashangaa huyu mwanzo alituambia tumuulize mwanasheria mkuu wa serikali, kama vile yeye ndie kiongozi wa nchi!.
 
Huko serikalini kuna watu ni mashetani kuliko Lusifa mwenyewe!
 
Mwambieni aache Kiki ana kipi cha maana mpaka auliwe? Pigeni kelele zote DP world lazima waje kuchapa kazi hatuwezi kukubali bandari iendelee kudumaa kisa kelele za waoga wa mabadiliko.
sema hatuwezi kukubali CCM waendelee kuibia Watanzania bandari inasimamiwa na nani? nani anamteua mtendaji mkuu wa bandari? yaani mnakuja na hoja ya kijinga sana. Mama yenu kauza Tanganyika hatutaki.
 
Kwa hiyo wewe ndio msemaje wake huku JF?
 
sema hatuwezi kukubali CCM waendelee kuibia Watanzania bandari inasimamiwa na nani? nani anamteua mtendaji mkuu wa bandari? yaani mnakuja na hoja ya kijinga sana. Mama yenu kauza Tanganyika hatutaki.
Ndio maana tunawaambie nyie ni waoga wa maendeleo, mmekariri maujamaa yenu eti Nani anamteua mtendaji? Hii inaenda kuwa public enterprises yaani kutakuwa kuna board of directors ambayo haiwezi kuingiliwa na wanasiasa, bodi itachapa kazi Kwa ufanisi zaidi kupandisha namba ya mapato Kwa uhuru bila kuyumbishwa na wanasiasa.
 
FATUMA HATUJAMSIKIA AKIPINGA UUZWAJI WA TANGANYIKA. MNAFIKI INGAWA NILIKUWA NAMPENSA SANA KWA KUWAKILISHA HOJA. NI MDINI, MKABILA AND THE LIKE
 
Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!
aliwatanguliza wengine akafikiri yeye atatanua atakavyo, kiko wapi - hii Dunia ukiwa kiongozi ni lazima upate maono ya nyakati.
Nyakati ni kitu muhimu sana kwa kiongozi yoyote wa nchi. Ushauri tu huyu mama aachane kabisa na hii DP world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…