Fatma Karume: Mkishamuua Dkt. Nshala ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri?

Imeandikwa wapi? nani aliyenzisha mfumo wa Ujamaa? Bandari ikawe public enterprises kati ya kampuni ipi? acha kukariri ujinga. Tunahitaji hizi ndoto unazoota ziwe kwenye maandushi.
 

..Jpm alituma watu kulipua ofisi ya Fatuma Karume.

..Jpm akatuma watu wamuue Tundu Lissu.

..baadae Jpm akawasamehe barrick deni la usd 191 billion.

..tena akaruhusu makinikia kwenda nje badala ya kuchenjuliwa hapa Tanzania.

..Jpm akaruhusu migogoro na Barrick kutatuliwa na mahakama za nje.
 
Hiyo ofisi ya Fatma Karume ilikuwa wapi?

Au pale Ufipa mlipombomolea MashaπŸ˜‚πŸ˜‚?
 
Hiyo ofisi ya Fatma Karume ilikuwa wapi?

Au pale Ufipa mlipombomolea MashaπŸ˜‚πŸ˜‚?

..ilikuwa maeneo ya Upanga, barabara ya Umoja wa Mataifa.

..Tena karibu na makao makuu ya jeshi ngome-Upanga.

..mtu hawezi kulipua bomu eneo lile akatoka salama.

..ndio maana nasema ilikuwa ni " maelekezo au amri kutoka juu. "
 
Shala Hana adabu,hata Kama anamdharau Samia lakini aheshimu taasisi ya urais,huwezi sema rais badala ya kuchutama yeye anachanua,halafu uachwe tu unazungusha korodani mjini...wamshughulikie,ili yeye na wengine waso adabu wajue kuwa rais ni amir jeshi mkuu
 
..ilikuwa maeneo ya Upanga, barabara ya Umoja wa Mataifa.

..Tena karibu na makao makuu ya jeshi ngome-Upanga.

..mtu hawezi kulipua bomu eneo lile akatoka salama.

..ndio maana nasema ilikuwa ni " maelekezo au amri kutoka juu. "
Pale opposite na Kanisa Moja Takatifu la Mitume πŸ˜€

Ile ilifanywa na Vijana wa Ufipa kumtisha Masha aliyekuwa na Mkataba wa Laigwanan Edward kuinunua Chadema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa nani katangaza kuwa anataka kumuua huho mkosa adabu anayetutukania mama zentu Nshalla? Yeye amajishtukia kutokana na utovu wake wa adabu basi.
 
shetani wewe
 
Kuua wakosoaji hakujawahi kuwa suluhisho la kudumu kwa matatizo yanayoikabili Serikali youote ile duniani, Bali ni kuahirisha kwa muda matatizo ili kusudi yakuwe na kuwa makubwa zaidi.
 
Awamu ya sita imekuwa ya hovyo sana.inamtishia mzalendo nshala kumuua kama kwamba wao hawatakufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…