FATMA Karume. mwanasheria maarufu na mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, amesema hakuna mkataba unaweza pita bila Mwanasheria Mkuu kuukubali na kwamba ofisi ya Mwanasheria Mkuu imejaa Watanganyika; hao ndio waliotuuza na sio wao Wazanzibar.
Aidha Binti Karume amesema AG Feleshi ni msukuma wa Tanganyika.
Pia amelaani mkataba huo na DP World na kusema unalinda upande mmoja tu wa DPW. Alikuwa akihojiwa na Maria Sarungi.
----------------
My take: Fatma Karume anajitoa ufahamu kwa vile anajua kuliko mtu yeyote kwamba Attorney General mbele ya tawala za Tanzania ni kinyamkera kisicho na uhuru. Wazanzibari hawawezi kujitoa kwenye uamuzi wa kugawa mali ya Tanganyika.