Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Ndugai alilazimishwa kujiuzuru? Yule AG iko kwenye comfort zone, sioni kama ana msiguano wowote na utendaji wa serikali......kwahiyo acheni kumtetea.Serikali ni kama msumeno...inaweza ikakutaka ujiuzuru au ikakuzuia usijiuzuru kwa lazima...ref: Ndugai na Diwani
Wacha kutudanganya wewe kwa vile ametajwa mtanganyika mwenzako kuhusika. Hivi kwa akili zako ulizonazo kuna mkataba unaosainiwa bila ya kupita kwa mwanasheria mkuu? Basi bora aondoke hapo madarakani kama anapitisha mikataba kiholela holela.My take: Fatma Karume anajitoa ufahamu kwa vile anajua kuliko mtu yeyote kwamba Attorney General mbele ya tawala za Tanzania ni kinyamkera kisicho na uhuru. Wazanzibari hawawezi kujitoa kwenye uamuzi wa kugawa mali ya Tanganyika.
UVCCM, Viongozi mbali mbali wakiwemo baadhi ya Wabunge walimwekea pressure ajiuzuru, na most recently akiwa kwenye mazishi ya Le Mutuz, Ndugai alikiri kwa kinywa chake kwamba Mzee Malecela alimwita akamwambia mdogo wangu jiuzuru naye akafanya hivyo Bila kuhoji, maanake anajua Mtu wa status ya Malecela hawezi kumshauri kuachia nafasi kubwa kama ile Bila kujua au kusikia jambo ambalo kwa Ndugai kuendelea kushikilia nafasi ile kungeleta madhara.Kwani ndugai alilazimishwa kujiuzuru? Yule AG iko kwenye comfort zone, sioni kama ana msiguano wowote na utendaji wa serikali......kwahiyo acheni kumtetea.
Kwa hili lienifanya nianze kumuona fatuma karume mpuuzi mkubwa sana.
Huyu Rais malkia/ Mfalme akiamua Feleshi atafanya nini?
Unayoyasema yote sawa ila ukumbuke tu wamesaini baada ya huo mkataba kuridhiwa na ofisi ya mwanasheria mkuuProf. Mbarawa aliyeweka saini kwenye ule mkataba ni mzanzibari.
Katibu Mkuu wa wizara yake ni mzanzibari.
Samia aliyeenda kuhongwa vitu vizuri Uarabuni nae ni mzanzibari, huyo Fatma atuambie, kati ya kiongozi mkuu wa nchi, na mwanasheria mkuu wa nchi, nani mwenye maamuzi ya mwisho?!
Aache kidomo domo.
Hawataki waambiwe kuwa na watanganyika wamehusikaWacha kutudanganya wewe kwa vile ametajwa mtanganyika mwenzako kuhusika. Hivi kwa akili zako ulizonazo kuna mkataba unaosainiwa bila ya kupita kwa mwanasheria mkuu? Basi bora aondoke hapo madarakani kama anapitisha mikataba kiholela holela.
Au lete uthibitisho kuwa huo mkataba huyo AG hakuwahi kuuona kabla.
Pls share video link alipokuwa akiongea.Kwenye swala la kwanza naheshimu na kukubaliana na mzanzibar huyu na mwanasheria nguli, kuwa Bandari Imeuzwa.
ila tunatofautiana kwenye swala la muuzaji tu,
Waliosaini hawajulikani kwani ? Wa kwanza Mbarawa/Mbawara wa Pili Sa100sasa tunaenda mbele zaidi kuwatambua waliotupeleka kwenye ushenzi huu,
Feleshi angekuwa mzalendo angejihuzulu kuliko kuuza nchiFATMA Karume. mwanasheria maarufu na mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, amesema hakuna mkataba unaweza pita bila Mwanasheria Mkuu kuukubali na kwamba ofisi ya Mwanasheria Mkuu imejaa Watanganyika; hao ndio waliotuuza na sio wao Wazanzibar.
Aidha Binti Karume amesema AG Feleshi ni msukuma wa Tanganyika.
Pia amelaani mkataba huo na DP World na kusema unalinda upande mmoja tu wa DPW. Alikuwa akihojiwa na Maria Sarungi.
----------------
My take: Fatma Karume anajitoa ufahamu kwa vile anajua kuliko mtu yeyote kwamba Attorney General mbele ya tawala za Tanzania ni kinyamkera kisicho na uhuru. Wazanzibari hawawezi kujitoa kwenye uamuzi wa kugawa mali ya Tanganyika.
Kalazimishwa kukubali, akijihuzulu watamuuaAG kama hakubaliani ajiuzuru tu.
Kama bado yupo ofisini maana yake anakubaliana.
Tatizo CCM.
Sio kweli mbona mwanasheria mkuu wa zamani wa Zanzibar hawajamuuaKalazimishwa kukubali, akijihuzulu watamuua
Huyu shangazi usagaji umemtoa ufahamuFATMA Karume. mwanasheria maarufu na mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, amesema hakuna mkataba unaweza pita bila Mwanasheria Mkuu kuukubali na kwamba ofisi ya Mwanasheria Mkuu imejaa Watanganyika; hao ndio waliotuuza na sio wao Wazanzibar.
Aidha Binti Karume amesema AG Feleshi ni msukuma wa Tanganyika.
Pia amelaani mkataba huo na DP World na kusema unalinda upande mmoja tu wa DPW. Alikuwa akihojiwa na Maria Sarungi.
----------------
My take: Fatma Karume anajitoa ufahamu kwa vile anajua kuliko mtu yeyote kwamba Attorney General mbele ya tawala za Tanzania ni kinyamkera kisicho na uhuru. Wazanzibari hawawezi kujitoa kwenye uamuzi wa kugawa mali ya Tanganyika.
Maza alikuwa na agenda yake. Waziri wa Ujenzi na Katibu Mkuu wake kuwa Wazenji haikuwa by coincidence.Maoni ya mwanasheria mkuu huenda yalikataliwa na mzanzibari ndio maana hata Feleshi aliongea kwa kijikanyaga kanyaga kama vile haelewi vizuri kilichomo kwenye mkataba. Mkataba ulipitishwa na ikulu na wizara ya uchukuzi
Ukweli ni kuwa Sumu ya neno ni neno.FATMA Karume. mwanasheria maarufu na mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, amesema hakuna mkataba unaweza pita bila Mwanasheria Mkuu kuukubali na kwamba ofisi ya Mwanasheria Mkuu imejaa Watanganyika; hao ndio waliotuuza na sio wao Wazanzibar.
Aidha Binti Karume amesema AG Feleshi ni msukuma wa Tanganyika.
Pia amelaani mkataba huo na DP World na kusema unalinda upande mmoja tu wa DPW. Alikuwa akihojiwa na Maria Sarungi.
----------------
My take: Fatma Karume anajitoa ufahamu kwa vile anajua kuliko mtu yeyote kwamba Attorney General mbele ya tawala za Tanzania ni kinyamkera kisicho na uhuru. Wazanzibari hawawezi kujitoa kwenye uamuzi wa kugawa mali ya Tanganyika.
Fatma hakuna kilichouzwa hapa. Hapa ni uwekezaji mzuri na wanaolia ni mafisadi na mawakala wao basi.FATMA Karume. mwanasheria maarufu na mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, amesema hakuna mkataba unaweza pita bila Mwanasheria Mkuu kuukubali na kwamba ofisi ya Mwanasheria Mkuu imejaa Watanganyika; hao ndio waliotuuza na sio wao Wazanzibar.
Aidha Binti Karume amesema AG Feleshi ni msukuma wa Tanganyika.
Pia amelaani mkataba huo na DP World na kusema unalinda upande mmoja tu wa DPW. Alikuwa akihojiwa na Maria Sarungi.
----------------
My take: Fatma Karume anajitoa ufahamu kwa vile anajua kuliko mtu yeyote kwamba Attorney General mbele ya tawala za Tanzania ni kinyamkera kisicho na uhuru. Wazanzibari hawawezi kujitoa kwenye uamuzi wa kugawa mali ya Tanganyika.
ALipata bahati tulikuwa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu, kimsingi hakujihuzulu alifukuzwaSio kweli mbona mwanasheria mkuu wa zamani wa Zanzibar hawajamuua