Mimi chadema lakini nimestuka, yaani nivunjwe mguu kisa Maria ambaye kajificha haji barabarani.Acha ujinga,hata ndani ya kijani wapo wanaoandamana,na kuwaona mliopungukiwa akili na maarifa.
Hizo ni propaganda za wasio amini au kupenda haki.Mimi chadema lakini nimestuka, yaani nivunjwe mguu kisa Maria ambaye kajificha haji barabarani.
Acha nijenge uchumi was familia tu, watoto walale njaa kisa Maria Sarungi, hata nikikamatwa kwenye dhamana Polisi hatakuja
Ni sawa na kuuliza mbona Rais hashiriki vita aliyoitangaza kwa sababu haonekani kwenye uwanja wa mapambano ameshika bunduki 🤣 🤣Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata.
Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi hatuna pa kwenda, na pengine Maria Sarungi,kwa siri sana, ana uraia wa ulaya kwa mama yake!
Akili za kuambiwa na Maria Sarungi changanya na zako
Mbona ya pale mtaa wa kijani hujawahi kuyataja.Maandamano wanafanya TWITA
Kuna jambo unalijua ila unajifanya zezeta tu.Mimi chadema lakini nimestuka, yaani nivunjwe mguu kisa Maria ambaye kajificha haji barabarani.
Acha nijenge uchumi was familia tu, watoto walale njaa kisa Maria Sarungi, hata nikikamatwa kwenye dhamana Polisi hatakuja
Punguani wewe, nani alikwambia kuna maandano ya kwenda mahakamani. Tofautisha kati ya kwenda mahakamanj na kuandamana mahakamani. Nyie wanaLumumna mbona mko punguani hivyo?Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata.
Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi hatuna pa kwenda, na pengine Maria Sarungi,kwa siri sana, ana uraia wa ulaya kwa mama yake!
Akili za kuambiwa na Maria Sarungi changanya na zako
Yaani wewe una akili ya kuona mambo. Huyu mulato anajipendekeza kwa wazungu kujionyesha mliberali kuliko hata wazungu. Ndio shida ya machotara...naye shangazi mambo ni yaleyale kujidai wazungu. Watu wanatetea uhuru wa mashoga huku afrika wakati huko ulaya watu decent hawalikubali.Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata.
Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi hatuna pa kwenda, na pengine Maria Sarungi,kwa siri sana, ana uraia wa ulaya kwa mama yake!
Akili za kuambiwa na Maria Sarungi changanya na zako
Kabisa mkuu.Watanasa mabwege, vijana tustuke, wanaoteseka ndugu zetu kututibu tukiumia na kututoa rumande, watoto wetu njaa zinawapiga tukiwa rumande, tumekataa
Ufipa sio?Mbona ya pale mtaa wa kijani hujawahi kuyataja.
CHADEMA wasiwaamini 100% ni Nyoka.Ndio unataka kusemaje ndugu mkuu maalum.
[emoji23][emoji1787]