Fatma Karume na Maria Sarungi sijawaona katika maandamano Mahakama ya Kisutu, wanachochea halafu wamejificha nyuma ya kabati

Kwa hiyo kwa siri sana ana uraia wa ulaya?!Uraia wa Ulaya ndio uraia wa namna gani?!kuna nchi inayoitwa Ulaya?!

Na hiyo siri ipite kote mpaka ikufikie wewe bado unaendelea kuiita kuwa ni siri hivi we humo kwa kichwa zimo kweli?!
 
Nikiziangalia 'Historical Backgrounds' zao Mimi kama GENTAMYCINE sijawahi na nitakuwa wa mwisho pia Kuamini kuwa Wawili hawa ama hawako ndani ya Mfumo ( System ) au hawatumiki 'Kimkakati' huko CHADEMA ambako 'wanaaminika' mpaka kuonekana ni Wapambanaji na Wanaharakati dhidi ya Serikali ya Tanzania ambayo mpaka hii leo inawatunza Babu na Bibi zao, Baba zao, Kaka zao na wengineo kutokana na Utendaji wao katika Chama cha CCM na Mamlaka za nchi.
 
Na kwa nini uvunjwe mguu kama sito ujinga wako na ccm yako. Lengo la kuandamana siyo kuvunjana miguu na ndo katiba tunaipigania kuondoa huu ujinga wako yaani huoni kama kuandamana ni haki yako kikatiba bali unaona kuvunjana miguu ndo haki ambayo hata haiko kwenye katiba. Ficha ujinga wako hata kama ni std seveni lakini jitahidi uwe na akili
Mimi chadema lakini nimestuka, yaani nivunjwe mguu kisa Maria ambaye kajificha haji barabarani.

Acha nijenge uchumi was familia tu, watoto walale njaa kisa Maria Sarungi, hata nikikamatwa kwenye dhamana Polisi hatakuja
 
Uvumilivu ukifika mwisho wananchi wenyewe wataingia barabarani kupaza sauti,hakuta kuwa na mwanasiasa yoyote atayewaambia nendeni barabarani..
 
Nyerere hakwenda hakwenda vitani dhidi ya uganda.wàla hakuwa mstari wa mbele yeye Wala familia yake kwwnye mapambano ya kusaidia Uhuru nchi za kusini mwa afrika.Kikwete hakwenda Congo wala familia yake.
 
Hata vitani Generals huwa hawaendi mstari wa mbele wao kazi yao ni kuweka strategies tu
 
Sio lazima wote waandamane, kila mmoja ana namna ya kusapoti movement. Naamini as long umewataja basi utaendelea kuwafuatilia post zao.

Kwenye Vita huwezi kutuma vikosi vyote mjomba Hawa wanapaza sauti inayosikika duniani, wanaandika na wanatumia duniani kwa wengine waone yanayoendelea, walifungwa Nani atapeleka haya????
 
Nilicheka nilisoma sehemu kuna nukuu ya lissu akiamrisha wananchi waingie barabarani
 
MPUMBAVU ni nani?

Ni mtanzania anayejazwa upepo akaumizwe au wakati mwenzake ana-tweet akiwa sebuleni juu ya Sofa

Tulikuwa Kisutu tukasikitika sana, hatujaona hata mmoja kati ya wanaojiita wanaharakati twitter akiwa mstari wa mbele kusema
 
Acha propaganda
 
Hao wanaopaka poda 24/7
 
Punguani wewe, nani alikwambia kuna maandano ya kwenda mahakamani. Tofautisha kati ya kwenda mahakamanj na kuandamana mahakamani. Nyie wanaLumumna mbona mko punguani hivyo?
Kwahy ulivokuwa umesimama pale nje na bango kubwa kubwa kuwa mbowe sio gaidi ulikuwa unafanyaje.?
 
Nyie chadema mna matatizo sana, kwahy ukiambiwa uandamane bc unafanya maandamano Twita.? Mtu yupo anacheza na snow Marekani huko halafu ww na ujinga wako unapauka na jua na bango lako
 
Wao wanafahamika na wako twitter kwa majina halisi , mbona hawakamatwi ? sasa wewe mwenye ID fake ambayo kwenye makabila mengine ni matusi ya nguoni mbona unajificha ?
 
Hatumwoni Samia akiwa mahakamani Kisutu kuwapiga CHADEMA virungu pia. Kajificha wapi? Mbona anawatuma akina Zirro tu? Yaani CCM mnahamasisha woga ili mwendelee kutawala kwa polisi na kura za kwenye mabegi!! Yana mwisho wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…