Fatma Karume na Maria Sarungi sijawaona katika maandamano Mahakama ya Kisutu, wanachochea halafu wamejificha nyuma ya kabati

Nyie chadema mna matatizo sana, kwahy ukiambiwa uandamane bc unafanya maandamano Twita.? Mtu yupo anacheza na snow Marekani huko halafu ww na ujinga wako unapauka na jua na bango lako
Sio kosa lako, kosa ni hizi Kodi ambazo tunalipa pamoja Ila mawazo yapo tofauti
 
Nyie chadema mna matatizo sana, kwahy ukiambiwa uandamane bc unafanya maandamano Twita.? Mtu yupo anacheza na snow Marekani huko halafu ww na ujinga wako unapauka na jua na bango laBahatuaha

Nyie chadema mna matatizo sana, kwahy ukiambiwa uandamane bc unafanya maandamano Twita.? Mtu yupo anacheza na snow Marekani huko halafu ww na ujinga wako unapauka na jua na bango lako
Bahati mbaya sana mie Sina hata kadi ya CHADEMA, hii inaonyesha ilivyo mjinga sana no wonder unatafuta umaarufu JF kwa kujifanya wewe ni verified member Ila hauna mawazo huru.

You sound stupid BTW
 
Mkuu achana naye huyo TAGA. Chadema hawezi kuandika upumbavu kama huo.

Acha ujinga,hata ndani ya kijani wapo wanaoandamana,na kuwaona mliopungukiwa akili na maarifa.
 
Bahati mbaya sana mie Sina hata kadi ya CHADEMA, hii inaonyesha ilivyo mjinga sana no wonder unatafuta umaarufu JF kwa kujifanya wewe ni verified member Ila hauna mawazo huru.

You sound stupid BTW
Hv baada ya maandamano yale mabango hua mnayapeleka wapi.?
 
Mbona vigogo wa CCM wanahamasisha ujenzi wa shule na hospitali ila hawawapeleki watoto wao kwenye shule za kata na wao hawatibiwi kwenye hospitali za umma
 
Mbona vigogo wa CCM wanahamasisha ujenzi wa shule na hospitali ila hawawapeleki watoto wao kwenye shule za kata na wao hawatibiwi kwenye hospitali za umma
Kwa hiyo hii ndiyo inawapa
Mbona vigogo wa CCM wanahamasisha ujenzi wa shule na hospitali ila hawawapeleki watoto wao kwenye shule za kata na wao hawatibiwi kwenye hospitali za umma
Kwa hiyo hii ndiyo inawapa excuse waendelee kujificha
 
Kwa hiyo hii ndiyo inawapa

Kwa hiyo hii ndiyo inawapa excuse waendelee kujificha
Kama msumeno tu ilivyo kwa kina Maria na Fatuma ndivyo vivyo hivyo kwa vigogo wa serikali na chama
 
Hawa wawili na fatma k. tulisha shutka maana ubini wao huenda uko upande wa pili wanachochea bababu wanapo pa kuponea
 
Kwa hiyo kwa siri sana ana uraia wa ulaya?!Uraia wa Ulaya ndio uraia wa namna gani?!kuna nchi inayoitwa Ulaya?!

Na hiyo siri ipite kote mpaka ikufikie wewe bado unaendelea kuiita kuwa ni siri hivi we humo kwa kichwa zimo kweli?!
Huwezi kuwaona

they are a true definition ya fraud
 
Wanaogopa kuupiga mwingi au nao wanaunga mkono kufungua uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…