Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
So kuna branches of state?aaah yaani nawe unaona una uwezo ..mtu ambae awezi kutofautisha Dola( State) na Serikali (Government).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So kuna branches of state?aaah yaani nawe unaona una uwezo ..mtu ambae awezi kutofautisha Dola( State) na Serikali (Government).
Executive kwa kiswahili ni nini ?aaah yaani nawe unaona una uwezo ..mtu ambae awezi kutofautisha Dola( State) na Serikali (Government).
Mpumbavu n wee ambaye hata uraia ya std la 5 imekuacha poleeeeeeeeh sana.Mpumbavu wewe unaekariri upuuzi.
Mhimili wa utawala.Executive kwa kiswahili ni nini ?
Organs of the StateSo kuna branches of state?
Aaah Judiciary ipo chini ya Wizara ya Sheria na Kiongozi wa Judiciary ni Waziri wa Sheria sio Chief Justice/ Jaji mkuu!Bishweko usidanganywe na mtu. Kuna kitu kinaitwa separation of powers. Hapo ndipo government inajigawanya kufanya majukumu yake kwa kuwa na executive,judiciary na legislature.
Executive ina husika na utendaji,judiciary kutafasiri sheria na bunge kutunga sheria na kuisimamia executive. Lakini hii ni serikali moja na inafanyika hivi ili kuondoa ukiritimba maana kazi zote hizi zingenfanywa na executive ingekuwa ni tabu maana rais angekuwa na madaraka makubwa sana.
Lakini pamoja na hayo hakuna complete separation of power. Ndio maana unaona Judiciary ipo chini ya wizara ya sheria na katiba ambayo ni executive. Bunge lipo chini ya ofisi ya PM. Kwa hiyo usiwe kama hao wapumbavu wa ufipa.
Ndio maana hata rais ni sehemu ya Bunge japokuwa sio member. Na rais pia anaweza kutunga sheria kwa kufanya executive orders.
Pole sana lakini maana ndio hali yenyewe.
Kwahiyo wewe ni high IQUwezo mdogo wa kujua mambo. Low Iq.
Hapo ndipo unapochanganya mambo. Kuwa chini ya wizara ya sheria na katiba sio kwamba kiongozi wa mhimili ni waziri.Aaah Judiciary ipo chini ya Wizara ya Sheria na Kiongozi wa Judiciary ni Waziri wa Sheria sio Chief Justice/ Jaji mkuu!
Hivi huu ni mtaala mpya na katiba mpya nini?
Ukitumia neno organs of state sovreignity = government.Organs of the State
Mkuu pumzika tuUkitumia neno organs of state sovreignity = government.
Mkuu pumzika aisee...unanipa wasi wasiHapo ndipo unapochanganya mambo. Kuwa chini ya wizara ya sheria na katiba sio kwamba kiongozi wa mhimili ni waziri.
Jaribu kuwa na uwezo mkubwa wa kudadavua mambo.
Kwa hiyo hujui kuwa bajeti ya wizara ya sheria na katiba ndio inahudumia judiciary? Ni halali ukamatwe mara kumi kama ndio hivi.Mkuu pumzika aisee...unanipa wasi wasi
Ni halali yule Katibu wa Ccm akushike shati mara kumi. Unakariri sana.Mkuu pumzika aisee...unanipa wasi wasi
Hana, anatoka na mume wako, vaa dela kamsuteFatma hivi ana mume yule?
Ndio umemaliza?Huyo Fatima hajawahi kujua sheria anatembelea jina la babu
Hii ndo naisikia leo! Hii elimu ya ujinga sijui inafundishwa wapi! Bahati mbaya sana waliyoisoma wanapatikana Lumumba pekeethree branches of government
Hahahaha, jamaa katoa bokoHii ndo naisikia leo! Hii elimu ya ujinga sijui inafundishwa wapi! Bahati mbaya sana waliyoisoma wanapatikana Lumumba pekee
Mimi sipo Lumumba ila nazungumzia kitu kinachoitwa separation of powers. Ambapo one government forms three parts to perfom different functions. Na hii kitu ipo dunia nzima. Ndio maana wapuuzi kama wewe mnadhani executive ni government.Hii ndo naisikia leo! Hii elimu ya ujinga sijui inafundishwa wapi! Bahati mbaya sana waliyoisoma wanapatikana Lumumba pekee
Ni halali ule sup 10 kwa namna hii!Mhimili wa utawala.
Ni halali Ccm itawale milele yaani unataka kusema Ag hafahamu kuwa government ni executive,judiciary na legislature kitu ambacho ni mfumo unaotumika dunia nzima!aaah yaani nawe unaona una uwezo ..mtu ambae awezi kutofautisha Dola( State) na Serikali (Government).