Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Aaah Judiciary ipo chini ya Wizara ya Sheria na Kiongozi wa Judiciary ni Waziri wa Sheria sio Chief Justice/ Jaji mkuu!
Hivi huu ni mtaala mpya na katiba mpya nini?
 
Aaah Judiciary ipo chini ya Wizara ya Sheria na Kiongozi wa Judiciary ni Waziri wa Sheria sio Chief Justice/ Jaji mkuu!
Hivi huu ni mtaala mpya na katiba mpya nini?
Hapo ndipo unapochanganya mambo. Kuwa chini ya wizara ya sheria na katiba sio kwamba kiongozi wa mhimili ni waziri.
Jaribu kuwa na uwezo mkubwa wa kudadavua mambo.
 
Hii ndo naisikia leo! Hii elimu ya ujinga sijui inafundishwa wapi! Bahati mbaya sana waliyoisoma wanapatikana Lumumba pekee
Mimi sipo Lumumba ila nazungumzia kitu kinachoitwa separation of powers. Ambapo one government forms three parts to perfom different functions. Na hii kitu ipo dunia nzima. Ndio maana wapuuzi kama wewe mnadhani executive ni government.
 
aaah yaani nawe unaona una uwezo ..mtu ambae awezi kutofautisha Dola( State) na Serikali (Government).
Ni halali Ccm itawale milele yaani unataka kusema Ag hafahamu kuwa government ni executive,judiciary na legislature kitu ambacho ni mfumo unaotumika dunia nzima!
 

Attachments

  • Screenshot_20200719-221631.png
    24.1 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…