Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Mnamiliki smartphone na kujiunga JF na kujifanya mnajua wakati kwenye vichwa vyenu mmejaa vinyesi kisa tu mnashabikia upuuzi. Hata shule hamjaenda pumbavu nyie. Soma hapo chini.Hahahaha, jamaa katoa boko
Bishweko nenda ukapitie material aliyo kuwa anakufundisha Dk aliyekuwa anakuchapa sup. Inawezekana alikuwa anatenda haki. Ila soma hiki kipande kitakusaidia. Ndio ujue serikali ni moja,executive,judicuary na legislatute. Ni aibu kuwa unakiri kuna mhimili wa utawala alafu unashabikia upuuzi.Mhimili wa utawala.
Katiba gani inasema hivo?Sijui na we upoje hata kufikiri tu unashindwa kama kiongozi wa chadema alifeli form six Aligombeaje urais wa tz 2005? Wakat katiba inasema ili uwe rais lazima at least uwe na degree? Ndo maana mtaendelea kukaa bench akija tu mpinzani hata kama alipokuwa upinzani alikuwa hana hata cheo kwenu akiingia tu mkuu wa wilaya au mkoa maana their educated
Police wanaajiriwa na judiciary au government?Si ajabu watu wengi humu awaelewi hata police force ni sehemu ya judiciary and not the government.
Kuna kitu nimekuwekea usome nilitarajia uje unipe feedbacks. Maana nashangaa group la ufipa nzima hii kitu mlikuwa hamjui. Na mmesomeshwa na Ccm. Naomba uniambie ulipitia hii kitu? Na umetambua kuwa State ni ni territory sio government? Na kama sup ulikuwa unakula bila kuonewa BishwekoMkuu pumzika aisee...unanipa wasi wasi
Ni kweli kuwa ulipitia pale maeneo hadi ukawa unapigwa sup? Au ilikuwa kujipaisha tu? Mtu aliyepita pale hawezi kutofahamu hii kitu. Na kuungana na wajinga na wavuta bangi wa ufipa kushabikia upuuzi. Ulikuwa hujui hii kitu?aaah yaani nawe unaona una uwezo ..mtu ambae awezi kutofautisha Dola( State) na Serikali (Government).
Tatizo hulijui mkuu.....elimu,elimu,elimu!Mwenzenu kaweka Hadi reference, Nyie mnamshambulia yeye Kama yeye. Tatizo Ni Nini mataga?
Bishweko naomba uje kwa niaba ya kundi la wavuta bangi na wanyw konyagi ina maana mlikuwa hamjui kuwa mnashabikia upuuzi na ujinga? Na wewe kweli umepita yale maeneo? Au ulitaka ujiko tu kujionyesha ulishafundishwa na katibu wa Ccm.Organs of the State
Waambie kuwa Ag alikuwa anamaanisha hichi nilichoattach maana Chadema inawafuasi kichwani wamejaa makamasi na manailoni. Jitu kama residentura inaonekana linajua kusoma na kuandika tu na linafikiria kwa kutumia makalio.Sasa naanza kuona ni nini alikuwa anamaanisha
Watu wote ambao mshahara wao unatokana na kodi ni waajiriwa wa serikali including judges. DR Mpango ndio ana amua kama serikali inauwezo wa kuongeza wafanyakazi au la.Police wanaajiriwa na judiciary au government?
Senti bai yuzingi tecno T301
Nyerere alikua mzungu au Muasia? Sijamuona ukimmention hapo.Usimwamini mwafrika au mwafrika mpigania haki.
Kenyatta alipigania uhuru wa kenya, walivyopata akajipa robo ya ardhi ya kenya
Mugabe alipigania uhuru wa Zimbabwe baadae akataka familia yake ndio itawale daima
Akina kagame,museveni n.k waliingia madarakani wakiwahadaa watu kwamba wanawapigania kumbe wanapigania matumbo yao na familia zao
Hivi wewe umesoma kweli somo la uraia na kwenda kabisa Chuoni...ebu soma tena ulicho kileta apa....Alafu watu kama wewe mkiwa apo Lumumba mnajiona mnajua....swine.Bishweko naomba uje kwa niaba ya kundi la wavuta bangi na wanyw konyagi ina maana mlikuwa hamjui kuwa mnashabikia upuuzi na ujinga? Na wewe kweli umepita yale maeneo? Au ulitaka ujiko tu kujionyesha ulishafundishwa na katibu wa Ccm.
Soma vizuri hii attachment
Basi inatosha. Maana hata mlimani kuna degree manzese. Kama unabishana na nondo za Wikipedea alafu unajinasibu umesoma PS!Hivi wewe umesoma kweli somo la uraia na kwenda kabisa Chuoni...ebu soma tena ulicho kileta apa....Alafu watu kama wewe mkiwa apo Lumumba mnajiona mnajua....swine.
State is has three organs Executive, Judiciary and Legislature.
Under the Executive we have Central Gov and Loc Gov.
All state organs operate independently whereas the Executive is a daily to day performer in a Nation.
Na itoshe kweli maana Lugha ya Malkia sio kila mtu anaelewa....Lakini pia itakua vizuri usome ata Katiba ya JMTBasi inatosha.
Katiba ya JMT ipo wazi wazi kabisa ibara ya 4(1) inasema all state authority in URT shall be exercised by two organs vested with executive powers,two organs vested with judicial powers and two organs vested with legislative and supervisory powers over the conduct of public affairs.Na itoshe kweli maana Lugha ya Malkia sio kila mtu anaelewa....Lakini pia itakua vizuri usome ata Katiba ya JMT
Duuuh hii ni hatari soma tena hii ibara anagalau mara mbili alafu urudie maelezo yangu....daah au ndiyo kukalili kua lazma nimpinge kada mwenzanguKatiba ya JMT ipo wazi wazi kabisa ibara ya 4(1) inasema all state authority in URT shall be exercised by two organs vested with executive powers,two organs vested with judicial powers and two organs vested with legislative and supervisory powers over the conduct of public affairs.
Nashangaa mtu aliyesoma mlimani hujui hili? Na unaungana na group la wapuuzi kushabikia ujinga.