Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Hahahaha, jamaa katoa boko
Mnamiliki smartphone na kujiunga JF na kujifanya mnajua wakati kwenye vichwa vyenu mmejaa vinyesi kisa tu mnashabikia upuuzi. Hata shule hamjaenda pumbavu nyie. Soma hapo chini.
 

Attachments

  • Screenshot_20200719-223252.png
    Screenshot_20200719-223252.png
    27.2 KB · Views: 1
Mhimili wa utawala.
Bishweko nenda ukapitie material aliyo kuwa anakufundisha Dk aliyekuwa anakuchapa sup. Inawezekana alikuwa anatenda haki. Ila soma hiki kipande kitakusaidia. Ndio ujue serikali ni moja,executive,judicuary na legislatute. Ni aibu kuwa unakiri kuna mhimili wa utawala alafu unashabikia upuuzi.
 

Attachments

  • Screenshot_20200719-223252.png
    Screenshot_20200719-223252.png
    27.2 KB · Views: 1
Sijui na we upoje hata kufikiri tu unashindwa kama kiongozi wa chadema alifeli form six Aligombeaje urais wa tz 2005? Wakat katiba inasema ili uwe rais lazima at least uwe na degree? Ndo maana mtaendelea kukaa bench akija tu mpinzani hata kama alipokuwa upinzani alikuwa hana hata cheo kwenu akiingia tu mkuu wa wilaya au mkoa maana their educated
Katiba gani inasema hivo?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Si ajabu watu wengi humu awaelewi hata police force ni sehemu ya judiciary and not the government.
Police wanaajiriwa na judiciary au government?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Mkuu pumzika aisee...unanipa wasi wasi
Kuna kitu nimekuwekea usome nilitarajia uje unipe feedbacks. Maana nashangaa group la ufipa nzima hii kitu mlikuwa hamjui. Na mmesomeshwa na Ccm. Naomba uniambie ulipitia hii kitu? Na umetambua kuwa State ni ni territory sio government? Na kama sup ulikuwa unakula bila kuonewa Bishweko
 

Attachments

  • Screenshot_20200719-223252.png
    Screenshot_20200719-223252.png
    27.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200720-045642.png
    Screenshot_20200720-045642.png
    27.8 KB · Views: 1
aaah yaani nawe unaona una uwezo ..mtu ambae awezi kutofautisha Dola( State) na Serikali (Government).
Ni kweli kuwa ulipitia pale maeneo hadi ukawa unapigwa sup? Au ilikuwa kujipaisha tu? Mtu aliyepita pale hawezi kutofahamu hii kitu. Na kuungana na wajinga na wavuta bangi wa ufipa kushabikia upuuzi. Ulikuwa hujui hii kitu?
 

Attachments

  • Screenshot_20200720-045434.png
    Screenshot_20200720-045434.png
    27.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200720-045642.png
    Screenshot_20200720-045642.png
    27.8 KB · Views: 1
Organs of the State
Bishweko naomba uje kwa niaba ya kundi la wavuta bangi na wanyw konyagi ina maana mlikuwa hamjui kuwa mnashabikia upuuzi na ujinga? Na wewe kweli umepita yale maeneo? Au ulitaka ujiko tu kujionyesha ulishafundishwa na katibu wa Ccm.
Soma vizuri hii attachment
 

Attachments

  • Screenshot_20200720-045434.png
    Screenshot_20200720-045434.png
    27.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200720-045642.png
    Screenshot_20200720-045642.png
    27.8 KB · Views: 1
Sasa naanza kuona ni nini alikuwa anamaanisha
Waambie kuwa Ag alikuwa anamaanisha hichi nilichoattach maana Chadema inawafuasi kichwani wamejaa makamasi na manailoni. Jitu kama residentura inaonekana linajua kusoma na kuandika tu na linafikiria kwa kutumia makalio.
 

Attachments

  • Screenshot_20200720-045434.png
    Screenshot_20200720-045434.png
    27.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200720-045642.png
    Screenshot_20200720-045642.png
    27.8 KB · Views: 1
Police wanaajiriwa na judiciary au government?

Senti bai yuzingi tecno T301
Watu wote ambao mshahara wao unatokana na kodi ni waajiriwa wa serikali including judges. DR Mpango ndio ana amua kama serikali inauwezo wa kuongeza wafanyakazi au la.

Hoja ni function za police katika system ya balance and checks ambapo technically wanaangukia kwenye judiciary; sio wana ajiriwa na nani maana ata majaji na mahakama zinategemea hela za serikali.
 
Usimwamini mwafrika au mwafrika mpigania haki.
Kenyatta alipigania uhuru wa kenya, walivyopata akajipa robo ya ardhi ya kenya
Mugabe alipigania uhuru wa Zimbabwe baadae akataka familia yake ndio itawale daima
Akina kagame,museveni n.k waliingia madarakani wakiwahadaa watu kwamba wanawapigania kumbe wanapigania matumbo yao na familia zao
Nyerere alikua mzungu au Muasia? Sijamuona ukimmention hapo.
 
Bishweko naomba uje kwa niaba ya kundi la wavuta bangi na wanyw konyagi ina maana mlikuwa hamjui kuwa mnashabikia upuuzi na ujinga? Na wewe kweli umepita yale maeneo? Au ulitaka ujiko tu kujionyesha ulishafundishwa na katibu wa Ccm.
Soma vizuri hii attachment
Hivi wewe umesoma kweli somo la uraia na kwenda kabisa Chuoni...ebu soma tena ulicho kileta apa....Alafu watu kama wewe mkiwa apo Lumumba mnajiona mnajua....swine.
State is has three organs Executive, Judiciary and Legislature.
Under the Executive we have Central Gov and Loc Gov.
All state organs operate independently whereas the Executive is a daily to day performer in a Nation.
 
Hivi wewe umesoma kweli somo la uraia na kwenda kabisa Chuoni...ebu soma tena ulicho kileta apa....Alafu watu kama wewe mkiwa apo Lumumba mnajiona mnajua....swine.
State is has three organs Executive, Judiciary and Legislature.
Under the Executive we have Central Gov and Loc Gov.
All state organs operate independently whereas the Executive is a daily to day performer in a Nation.
Basi inatosha. Maana hata mlimani kuna degree manzese. Kama unabishana na nondo za Wikipedea alafu unajinasibu umesoma PS!
 

Attachments

  • Screenshot_20200720-045434.png
    Screenshot_20200720-045434.png
    27.1 KB · Views: 1
Watanzania wengi matumizi ya Lugha ya Kiingereza yanawasumbua sana...
Mtu anasema eti mahaka ipo chini ya waziri wa sheria nasio Jaji Mkuu..Waziri wa Sheria ni kiunganishi kati ya Executive na Mahakama basi.Mahakama ipo chini ya Jaji Mkuu kama lilivyo Bunge lipo chini ya Spika na Waziri Mkuu ni kiunganishi cha Executive (Utawala) na Bunge.
Mwisho Chagu wa Marande umeleta maandiko ya Google ebu yasome vizuri kwa Kiingereza nasio kuyabadirisha kwa Kiswahili utaelewa.
 
Na itoshe kweli maana Lugha ya Malkia sio kila mtu anaelewa....Lakini pia itakua vizuri usome ata Katiba ya JMT
Katiba ya JMT ipo wazi wazi kabisa ibara ya 4(1) inasema all state authority in URT shall be exercised by two organs vested with executive powers,two organs vested with judicial powers and two organs vested with legislative and supervisory powers over the conduct of public affairs.
Nashangaa mtu aliyesoma mlimani hujui hili? Na unaungana na group la wapuuzi kushabikia ujinga.
 
Huyu mama anadhani yeye ndiye mtu pekee Tanzania au duniani kote mwenye kujua sheria labda kidogo na Tundu Lisu. Huo ni ugonjwa kwa sababu hata mimi pia nina maradhi hayo hayo kwenye fani yangu najiona mimi ndiye ninajua kila kitu kuliko hata maprofessor wawili ambao wananisimamia kwenye PhD yangu pia najua kuliko hata external na internal examiners wangu na kama ungebahatika kuwepo kwenye Viva voce wakati nilipo defend research paper yangu ungeshangaa nilivyokuwa nabishana na members wa Viva voce lakini nashukuru Mungu wale members ni wasomi na wana hekima kwani wanawafahamu watu wa aina yetu walinionya na kunielekeza sasa hivi maisha yanaendelea. Mpeni pole huyu mdada hata kama anajua sheria hayuko peke yake sidhani kwamba anafikia hata level ya Msando
 
Katiba ya JMT ipo wazi wazi kabisa ibara ya 4(1) inasema all state authority in URT shall be exercised by two organs vested with executive powers,two organs vested with judicial powers and two organs vested with legislative and supervisory powers over the conduct of public affairs.
Nashangaa mtu aliyesoma mlimani hujui hili? Na unaungana na group la wapuuzi kushabikia ujinga.
Duuuh hii ni hatari soma tena hii ibara anagalau mara mbili alafu urudie maelezo yangu....daah au ndiyo kukalili kua lazma nimpinge kada mwenzangu
 
Back
Top Bottom