Kwa hiyo kasuku anaongea sana kuliko binadamu?Huyu mama mkorofi na muongeaji aisee Jana nimekutana naye jengo la Alfa house mkabala na jengo la makao makuu ya vodacom.hapana huyu mama mtata sana.mpaka nikawauliza wenzangu huyu mama kaolewa maana anaongea kama Kasuku aisee
Hakuna Ila nae Fatma ni wale waleComrade serikali ina mihimili 3 ???
Kwaio mtu asipoolewa anakua haongei sana?Huyu mama mkorofi na muongeaji aisee Jana nimekutana naye jengo la Alfa house mkabala na jengo la makao makuu ya vodacom.hapana huyu mama mtata sana.mpaka nikawauliza wenzangu huyu mama kaolewa maana anaongea kama Kasuku aisee
Hehehe.Government ina 3 pillars...
Executive
Legislature
Judiciary
Inategemea jamaa kaamkajeKwani CCM kuna mtu anateuliwa kwa kujua mambo au weledi??ni kwamba uwe unajua KUSIFIA basi inatosha
Kwahiyo tumuamini Magufuli?Usimwamini mwafrika au mwafrika mpigania haki.
Kenyatta alipigania uhuru wa kenya, walivyopata akajipa robo ya ardhi ya kenya
Mugabe alipigania uhuru wa Zimbabwe baadae akataka familia yake ndio itawale daima
Akina kagame,museveni n.k waliingia madarakani wakiwahadaa watu kwamba wanawapigania kumbe wanapigania matumbo yao na familia zao
Hilo la wale-wale fungulia thread yake.Hakuna Ila nae Fatma ni wale wale
[emoji3][emoji3] yaani hio kauli inaonyesha kwamba yeye ndio kila kitu,hakuna cha kanuni wala taratibu,hata hao wajumbe ni picha tuInategemea jamaa kaamkaje
Hii inatoshaHilo la wale-wale fungulia thread yake.
Ni aibu nchi kuwa na AG anayesema eti serikali ina mihimili 3
Kuna Waziri Profesa mmoja hivi alishauriwa naye avute bangi tena ya Njombe ili awe mkali, na kweli baada ya hapo alibadilika akawa mbogo kwenye ziara zake mikoani anawapekeka mpera mpera.CCM karibu wote wanapiga bange
Alafu wanamfagilia anajua!Fatma huyu huyu alie nukuu kifungu Cha sheria ambacho hakipo kipindi kile ana muwakilisha mteja wake au Ni Fatma mwengine?
Jana kakivua nguo chama chake na wanaccm wote.[emoji3][emoji3] yaani hio kauli inaonyesha kwamba yeye ndio kila kitu,hakuna cha kanuni wala taratibu,hata hao wajumbe ni picha tu
Mwanasheria Mkuu makini kama Prof. Kilangi hawezi kuwa hajui kuwa Taifa Mama Tanzania ndio ina mihimili mitatu; Serikali, Bunge na Mahakama. Hayo unazusha kama uko kwenye Khanga Party.1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7
View attachment 1486607
2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
Bia yetu yuko maternity leave kazaa mtoto njiti hivyo hataonekana kwa muda kwani kitoto bado kiko kwenye kiota.Nisalimie Bia yetu naona mmeiweka mapumzikoni ID yenu pendwa
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Sasa kama serikali imegawanyika katika mihili mitatu. Kuna kosa mtu akisema serikali ni mihimili mitatu?Na we unakwama wapi ,hujui kuwa mihimili ni serikali,bunge na mahakama? Ko serikali inakuwaje mihimili mitatu tena? Au ni lugha imekuchanganya
Dola ndio nini? Na serikali ndio nini? God forbid!Hehehe.
Na dola ina mihimili mingapi ?
Kwa hiyo hata wewe kamanda haujui kuwa branches the government ni executive,judiciary na legislature? Chadema ni ...Comrade serikali ina mihimili 3 ???
Embu tumia kiswahili niandikie mihimili mitatu usijifiche kutumia kiingereza labda lugha imekupiga chengaSasa kama serikali imegawanyika katika mihili mitatu. Kuna kosa mtu akisema serikali ni mihimili mitatu?
Three branches of government =1 government. Mfano hii ishu iko mahakani kuna tatizo?
Wewe ndio hujaelewa hiyo mihimili ni Executive,judiciary na legislature. Sio government,judiciary na legislature. Huyo mama ndio maana kanyag'anywa uwakili ni mweupe.